Pole sana kwakwe, na hii ndio maana ya “Lottery” asiitegemee sana, pia aangalie options nyingine!Kijana wangu toka jana appetite ya chakula hana na hatoki nyumbani anasema mwili hauna nguvu, kumbe majibu ya mtihani ndiyo hayo hapo 😂!.
Kiongozi huyo ni wewe ?