Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Umetumia kigezo au vigezo gani kuisanifu hiyo gari kuwa ni ya kike?!Gari imekaa kike Sana ile nitashangaa dume akiendesha Dualis.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia kigezo au vigezo gani kuisanifu hiyo gari kuwa ni ya kike?!Gari imekaa kike Sana ile nitashangaa dume akiendesha Dualis.
Mkuu natumia Passo...... Naomba uniheshimu kama m'miliko wa gari kamili sio pikipiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuta hapo unaendesha passo[emoji16][emoji16]
Passo Ni Bajaj iliyochangamkaMkuu natumia Passo...... Naomba uniheshimu kama m'miliko wa gari kamili sio pikipiki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuogopesha watu haujui Nissan wewe. Nakushauri chukka Dualis au xtrail Murano achana nayoGari ndogo iliyoandikwa " Nissan" iepuke kama ukoma mkuu. Utakuja kunikumbuka siku moja.
Doto ya mchanaAcha kuogopesha watu haujui Nissan wewe. Nakushauri chukka Dualis au xtrail Murano achana nayo
Tayari umekumbukwa. Fuga majangaGari ndogo iliyoandikwa " Nissan" iepuke kama ukoma mkuu. Utakuja kunikumbuka siku moja.