Majibu niliyopewa Wiki Mbili na Leo pia na Mtabibu wa zamu juu ya Mpwa wangu yamenichanganya naombeni Msaada wa Kuyaelewa tafadhali

Moyo wake unatokatoka ( unahamahama ) sana katika njia yake ila kuna Mzungu Mmoja kasema atatusaidia atupe Ufadhili wa Kumpeleka nchini Ujerumani ambako ndiko wana Ujuzi wa Juu wa Matibabu ya Moyo.
 
Alikuwa Nazem Hospitali Victoria, ila kwa sasa tupo njiani kwenda nae Nyumbani Kijijini Tocha kwa Matibabu Mchanganyiko zaidi ya Kisayansi na Kiutamaduni pia.
Nakubaliana nawe kwa taarifa.....Ila sasa kama uchawi wa kizungu umeshindikana huo wa kijijini ah.....Mpwa akiondoka nina wasiwasi sie marafiki zako na wale mabeberu itatubidi tuje kufanyia ibada kijijini kwenu ....All - Rounder....... I hope patatosha.
 
Watz baadhi yenu kuna mahali mna shida.
Nyie mnafaa mpate corrupt leaders,na maendeleo msifanyiwe.
Kila mtu aachwe aibe atakavyo muendelee kuwa kijiji.
Watu design ya magufuli si size yenu,ilifaa aongoze U.S. huko.
Hamna hata shukrani.

Hii Lulu mlipewa hamtawahi ipata tena as ni watu wachache kama yeye.
Time is the best teacher,mtakuwa kama Libya itakua too late.
 
Ondoa ujinga ww
 
weweeeeeeeee nenda kafanye kazi hembu ondoa ujinga wako hapa kwanza kwenye hii mada katajwa magu ondoa ujuwaji et ila faa aongoze us ip labda ya kwa mtogole
 
Hii laana na ishindwe tunaifutilia mbali.
Rais Magu wetu ni tunu na atabakia kuwa tunu kwa tafsiri yake.
 
Nauguliwa na Mpwa wangu nashangaa unanitajia Mtu mwingine ambaye bahati mbaya hata haugui ( haumwi ) kwa mujibu wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan. Acheni Viherehere na Kuwashwawashwa tafadhali.
 
weweeeeeeeee nenda kafanye kazi hembu ondoa ujinga wako hapa kwanza kwenye hii mada katajwa magu ondoa ujuwaji et ila faa aongoze us ip labda ya kwa mtogole
Wewe unado nini hapa?
Umeniajiri au umekariri.
Sasa mnadhani kuna mtu hajui mnamaanisha nini.
 
Hii laana na ishindwe tunaifutilia mbali.
Rais Magu wetu ni tunu na atabakia kuwa tunu kwa tafsiri yake.
Unaweza kuweka Ushahidi usio na chembe ya Shaka kuwa huu Uzi unamuhusu huyu ( huyo ) Mtu wenu na siyo Mpwa wangu? Kuna Watu mnanitafuta endeleeni tu mtanipata very soon Wapuuzi wakubwa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…