Majibu niliyopewa Wiki Mbili na Leo pia na Mtabibu wa zamu juu ya Mpwa wangu yamenichanganya naombeni Msaada wa Kuyaelewa tafadhali

Majibu niliyopewa Wiki Mbili na Leo pia na Mtabibu wa zamu juu ya Mpwa wangu yamenichanganya naombeni Msaada wa Kuyaelewa tafadhali

Nauguliwa na Mpwa wangu nashangaa unanitajia Mtu mwingine ambaye bahati mbaya hata haugui ( haumwi ) kwa mujibu wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan. Acheni Viherehere na Kuwashwawashwa tafadhali.
Ukisikia kuruka kimanga ndio kama hivyo mkuu[emoji23][emoji23]
 
Mpwa wako ameshajifukizia?
Leo kaomba aende akapunge Upepo Feri Magogoni na huenda kuanzia Kesho au Wiki ijayo akaomba kukutana na Ndugu zake Wote na hata Kupiga nae Picha na ikiwezekana Kuzungumza nasi juu ya Familia yetu Kubwa ambayo ilishtushwa mno na Kuugua Kwake ghafla hivi.
 
Mkuu mpwa wako anaendeleaje?Any update please!
Amepona..
Yupo vizuri kwa sasa,jana alikuwa na mazoezi madogo ya kutembea.
LEO ameamka akiwa salama,hivyo tunasikilizia ijumaa au kesho atoke hospital.

Alipata shambulio la moyo+maumivu ya kichwa na kifua pamoja na mbavu (Corona).

Wiki moja nyuma alikuwa na hali tete sana. (Tulijua atafariki,maana alikuwa kwenye Coma ya hali ya juu).
Wiki ijayo ataibuka na mbwembwe zake,ila kajifunza kitu,atakuwa mpole mithili ya mtu aliyetengenezwa (Cloning).

Hili limekwisha sasa..
Next week Ataonekana!.
 
Pole kwa kuuguza, msalimie mpwa wako mwambie ajitahidi kunywa uji.
 
Sijafurahi!😖😖😖Mimi nataka afe.
Hahaha
Sijafurahi!😖😖😖Mimi nataka afe.
Mkuu yupo Muhimbili Hosp.. (hakuwahi kwenda nairobi wala popote pale, zaidi alikuwa hapa hapa Dar Hosp)
Nenda karipue jengo...
Nikiweka mengine nitaji expose..
Leo familia yake ilienda kumjulia khali.. walifurahi kweli..

Sasa wanasema wenyewe, "Chuma Kinaingia tena Next Week"
 
Mada kama hizi ni za kupeleka huko chit chat ila moderators wanazientertain.
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] uwii
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] uwii
Hiyo uwiiii kwema??.
Mpaka muda huu yupo fresh..
Mbavu na kifua vimeachia..

Wanasubiri ruhusa tu ya Dr..

Jumatatu mtamuona

Save my comments.
 
Mada kama hizi ni za kupeleka huko chit chat ila moderators wanazientertain.
Hopeless Wewe usinizidishie Machungu Mpwa wangu Kafariki tayari na sasa tuko katika Mikakati ya Msiba na Maziko yake.
 
Back
Top Bottom