Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mpwa wako ameshajifukizia?Hajawahi kwenda sijui huko Kenya wala India, ila alikuwa Dodoma kwa Shangazi, tukamleta hapa Dar es Salaam kwa Mjomba na sasa yupo Kijijini Kwetu Lake Zone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa wako ameshajifukizia?Hajawahi kwenda sijui huko Kenya wala India, ila alikuwa Dodoma kwa Shangazi, tukamleta hapa Dar es Salaam kwa Mjomba na sasa yupo Kijijini Kwetu Lake Zone.
Pole sana
Umeona eenh tunatafutiana jela jamani tafazaliacheni ujinga jamani hakuna mtu asiye na akili ya kujua unamaanisha nini
Ukisikia kuruka kimanga ndio kama hivyo mkuu[emoji23][emoji23]Nauguliwa na Mpwa wangu nashangaa unanitajia Mtu mwingine ambaye bahati mbaya hata haugui ( haumwi ) kwa mujibu wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Samia Hassan. Acheni Viherehere na Kuwashwawashwa tafadhali.
Leo kaomba aende akapunge Upepo Feri Magogoni na huenda kuanzia Kesho au Wiki ijayo akaomba kukutana na Ndugu zake Wote na hata Kupiga nae Picha na ikiwezekana Kuzungumza nasi juu ya Familia yetu Kubwa ambayo ilishtushwa mno na Kuugua Kwake ghafla hivi.Mpwa wako ameshajifukizia?
Nimeshakujibu tafadhali hapo juu angalia.Mkuu mpwa wako anaendeleaje?Any update please!
Amepona..Mkuu mpwa wako anaendeleaje?Any update please!
Ondoa ujinga ww
HahahaSijafurahi!😖😖😖Mimi nataka afe.
Mkuu yupo Muhimbili Hosp.. (hakuwahi kwenda nairobi wala popote pale, zaidi alikuwa hapa hapa Dar Hosp)Sijafurahi!😖😖😖Mimi nataka afe.
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] uwiiHahaha
Mkuu yupo Muhimbili Hosp.. (hakuwahi kwenda nairobi wala popote pale, zaidi alikuwa hapa hapa Dar Hosp)
Nenda karipue jengo...
Nikiweka mengine nitaji expose..
Leo familia yake ilienda kumjulia khali.. walifurahi kweli..
Sasa wanasema wenyewe, "Chuma Kinaingia tena Next Week"
Hiyo uwiiii kwema??.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] uwii
Hopeless Wewe usinizidishie Machungu Mpwa wangu Kafariki tayari na sasa tuko katika Mikakati ya Msiba na Maziko yake.Mada kama hizi ni za kupeleka huko chit chat ila moderators wanazientertain.
Jumatatu!!Hiyo uwiiii kwema??.
Mpaka muda huu yupo fresh..
Mbavu na kifua vimeachia..
Wanasubiri ruhusa tu ya Dr..
Jumatatu mtamuona
Save my comments.