Ya wezekana lakin mmh mbona Kwa wakristo ipo lakin wao wame zd myMimi si muislamu.
Ila matendo ya mtu mmoja mmoja yasiwe ndio standard y kuhukumu dini fulan au kitabu fulani.
Huyo ni mshenzi kama walivyo waumini wa kikristu wengine wanaotumia miamvuli ya dini kuficha uchawi wao au ushenz wao
iyo ni tabia ya mtu tuuuhuku kunamwingne hasalimiagi kabisa sikt mwanae anaoa tukapata mwaliko kwenda tukabeba godoro km zawadi alivotuona kuanzia siku hyo anatusalimiaga ila wengne hawasalimiag--- sO huaga wanakusudia kufanya ivo wala c bahat mbaya.
duuh hafai kabisa huyo. kushinda bar mwezi mtukufu na matusi juu!!!!Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano
Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e wetu huyo ana tukana balaa hafu sio yeye t ambao nime kutana nae wapo wengi t hadi mwezi huu mtukufu wa ramadhan
Sasa najiuliza tusi huwa sio zambi ama wana chukuliaje tusi? hapo sinaga majibu kabisaaaaaaa [emoji15]
Mkuu Wilo nakuomba wakati mwingine kabla hujatuma mchango wako hadharani pitia upya maandiko yako kuna makosa ambayo ungeweza kurekebisha
Shee=Sheikh
Waheslam=Waislamu
Hafu=Halafu
Zambi=Dhambi