Majibu saii sina

Majibu saii sina

Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano

Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e wetu huyo ana tukana balaa hafu sio yeye t ambao nime kutana nae wapo wengi t hadi mwezi huu mtukufu wa ramadhan

Sasa najiuliza tusi huwa sio zambi ama wana chukuliaje tusi? hapo sinaga majibu kabisaaaaaaa [emoji15]
Kwanza nikurekebishe uandishi wa maneno yako
Shekhe na sio shee

Waislam na sio wahesilamu

Pili suala la matusi halipo ktk dini fulani bali ni suala la kibinadamu tu...sio waislamu tu wanaotoa matusi bali hata wakristo, mabudha na wapagan pia wanatoa matusi. Hvyo suala la matusi kibinadamu ni kukosa uadirifu, ktk sheria za nchi ni kosa la jinai na ktk dini zote ni zambi kbsa
 
Mkuu Wilo nakuomba wakati mwingine kabla hujatuma mchango wako hadharani pitia upya maandiko yako kuna makosa ambayo ungeweza kurekebisha
Shee=Sheikh
Waheslam=Waislamu
Hafu=Halafu
Zambi=Dhambi
Kumbe we mwalimu wa kiswahili sawa mkuu ila nashukur nilicho handika kimeheleweka vizuri tu labda wewe pekeyako tu ila nashukuru kwa kunielewesha
 
Tatizo ni kwamba mfungo wa ramadan wenyewe wa kulazimishana na sio hiari kama ilivyo kwa Wakristo. Hivyo watu wanaendeleza tabia zao mbovu maana hata mwenyewe hajui anafunga ili iweje.

Unaweza kuta mtu anaweza hata kuiba hela ili akafutari.
 
Mkuu hakuna typin error hapo, asikuchoshe hajui kuandka vzur huyo cjui kaishia darasa la ngap..

Shame

Wahandishi naona mnafanya kazi zenu kiumakini hongereni ila sasa mshara anawapa nani? Tungekuwa tuna tumia kalamu mgekuwa mnapata hasara nyie hafu najua kimewauma kisa nime gusa penyewe najua n nitahendelea kusema kizuri Nita kisifia kibaya s kisifii ng'ooo
 
Mkuu Wilo nakuomba wakati mwingine kabla hujatuma mchango wako hadharani pitia upya maandiko yako kuna makosa ambayo ungeweza kurekebisha
Shee=Sheikh
Waheslam=Waislamu
Hafu=Halafu
Zambi=Dhambi
Shikamoo mkuu.. !!
 
Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano

Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e wetu huyo ana tukana balaa hafu sio yeye t ambao nime kutana nae wapo wengi t hadi mwezi huu mtukufu wa ramadhan

Sasa najiuliza tusi huwa sio zambi ama wana chukuliaje tusi? hapo sinaga majibu kabisaaaaaaa [emoji15]
Naona mleta mada imefurahi sasa ,maana umepata ulichokuwa unakisaka.
Tukisema wakristo wengi wenu mna matatizo.
Mkuu KAHTAAN ,hebu fanya tafadhwal mashkuurrr.
 
Back
Top Bottom