Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Kwanza nikurekebishe uandishi wa maneno yakoKuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano
Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e wetu huyo ana tukana balaa hafu sio yeye t ambao nime kutana nae wapo wengi t hadi mwezi huu mtukufu wa ramadhan
Sasa najiuliza tusi huwa sio zambi ama wana chukuliaje tusi? hapo sinaga majibu kabisaaaaaaa [emoji15]
Shekhe na sio shee
Waislam na sio wahesilamu
Pili suala la matusi halipo ktk dini fulani bali ni suala la kibinadamu tu...sio waislamu tu wanaotoa matusi bali hata wakristo, mabudha na wapagan pia wanatoa matusi. Hvyo suala la matusi kibinadamu ni kukosa uadirifu, ktk sheria za nchi ni kosa la jinai na ktk dini zote ni zambi kbsa