brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
- Thread starter
- #21
AxantOK, Karibu Njombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AxantOK, Karibu Njombe
Yaani watu mnalitafuta hili gonjwa Kwa nguvu, vipimo vinaonesha huna,bado unakomaa duh, nenda hospital for checkup zaidi, huenda ni malaria tu,
Mi mwenyew xiend tena kupmaMi nashangaa sana wanaoshikiria kulitafuta hili janga kwa nguvu......
Last week nimemgomea mtu kupima hivi hivi ....nimepima HIV Mara saba mpaka sasa sina virusi na vyeti ninavyo anakuja yeye ananiambia nataka nikupime eti kisa sikupima na yeye japo vyeti vipo nikamwambia usinilazimishe kwenda kukitafuta kitu ambacho hakipo mpaka kionekane kipo niache tu .....nisije rudi Mara nane nikaambiwa vipo nikafa pressure bure
Tafutia tabu kwa lazima tu.....Mi mwenyew xiend tena kupma
Ntapma vpmo vya magonjw mengne ila icho kpmo never happen🤪😜🤪KujiTafutia tabu kwa lazima tu.....
Ntapma vpmo vya magonjw mengne ila icho kpmo never happen[emoji2957][emoji12][emoji2957]
Kip klkuxukuma mpak kupma mara zote hzoMimi napima hata huo ukimwi but kwa sasa napumzika nisijepata nnachokitafuta......Mara saba ni nyingi mnooo
Kip klkuxukuma mpak kupma mara zote hzo
Bax 2maamuzNenda hospital za uhakika ciyo zs vichochoroni halalafu kwa nini ynajihisi kuukwa ukimwi?
Tatzo dall znalandana muleleNenda hospital za uhakika ciyo zs vichochoroni halalafu kwa nini ynajihisi kuukwa ukimwi?
haaahaahaaUnataka Nikusindikize hospital ?, nipo Njombe vijijini karibuu[emoji3]
Acha umbea ww kwahy umexhndwa kuchangia madahaaahaahaa
Mafua ni dalili ya ukimwi!?? We mtoto hujielewi..Like, 1,maumivu ya joints na misuli
2,maumivu ya koo,kichwa,tumbo.
3,mafua na
4,kuvimba tezi nyuma ya kisogo
Nooo, ila nmeulza 2 ili npate mxaada kmawazoMafua ni dalili ya ukimwi!?? We mtoto hujielewi..
Walnambia nijabu kupma vpmo vngnePole sana. Kwani baada ya majibu walikuambiaje??
Fuata ushauri wa wataalamu.
Basi fanya hivyo mkuu.Walnambia nijabu kupma vpmo vngne
Yan mkuu tatzo bei ya kipmo ghali xanaBasi fanya hivyo mkuu.
Tatzo vpmo bei ghali xanaBasi fanya hivyo mkuu.