MAJIBU: Ukweli Kuhusu PASSION LADY...

Halafu ninahisi wewe ndiye uliyefoji cheti chake cha kuzaliwa...
Vipimo vya DNA na Carbon Test vyote vinaonesha umri wake iweje leo unipe fiksi za mwaka 56...

We watu8 mbona Passion Lady kazaliwa 1956 ?
Hivyo vita vya Kagera au vya majimaji?
 
Last edited by a moderator:
ss mbna una wa copy ma haters, haya,nitakutafta soon,tushirikishane hilo jambo shirikishi..ss nikutafte kwa njia gan
Afu mimisa unitafute, kuna "jambo shirikishi" inabidi tuongee, inawezekana ukurasa mpya ukafunguka unexpectedly.
Copy: All HATERS....!
 
Last edited by a moderator:
ss mbna una wa copy ma haters, haya,nitakutafta soon,tushirikishane hilo jambo shirikishi..ss nikutafte kwa njia gan

Nimewa copy ma haters kwa sababu maalum, kuna watu watakuja hapa utawaskia ooh.. mwenyekiti.... ooh kimeenda kikarudi, hata Judgement aliwahi kulisemea hili..
 
Last edited by a moderator:
umesomeka mwenyekiti..so nakutaftaje ss?..
Nimewa copy ma haters kwa sababu maalum, kuna watu watakuja hapa utawaskia ooh.. mwenyekiti.... ooh kimeenda kikarudi, hata Judgement aliwahi kulisemea hili..
 
Last edited by a moderator:

Thats my Daddy.....

Morning Daddy!!! :smile: :smile:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…