Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jeidii mburula tu.Afande sele ni king of rymes of all tym in tz.so mchonge tu.maneno hata kwenye boxer yapoKhaaa,huyo shoga anatapik nn???,---- make hamfikii jide hata auze ------ wake malay wa ambianc utashindan na anaconda,una bahat mbwa wew ningekufira eima ------ yako
Baelezee hawa maboya humu ndani!...afande sele hajakosea yeye anaangalia goto!ila watu wanapanic bila kujua wakisemacho!Hivi nyie watu mlitaka hiy siku ya may pawe na show moja tu dar es salaam mzima? Hiyo show yenyewe inafanyika uwanja wa taifa, au? By the way, hivi huyo JD tangu lini aliwahi kusimama kidete kupigania maslahi ya wasanii wengine? Yaani bifu lake yeye na Clouds ndo mlitaka kila kitu kisimame?!
Na sizani hata kama wanafahamu kwamba wanaotimba kwenye show za Jide ni tofauti kabisa na wale wanaotimba kwenye show kama ya Kikosi! Sizani kama wanafahamu kwamba wengi wanaoenda kwenye show za Jide ni wale wanaotafuta pa kumalizia siku huku wakiwa na vidosho wao huku wale wanaotimba kwenye show za Block 41 ni wale ambao wamelanduka kweli kweli....wanaenda pale kwa ajili ya ngoma na mengine ni matokeo tu!!Baelezee hawa maboya humu ndani!...afande sele hajakosea yeye anaangalia goto!ila watu wanapanic bila kujua wakisemacho!
Kimafanikio ni kweli hajamfikia lakini lazima ufahamu kwenye game la muziki wa bongo flavor kufanikiwa ni zaidi ya uwezo wa kimuziki wa msanii husika!! Kilichomtoa zaidi Jide sio uwezo wake kimuziki bali kuwa ndani ya channel za kimuziki; particularly, hawa hawa Clouds na Ruge ambao anawa-diss! Kingine ambacho kimemfanya Jide kuendelea kuwa ndani ya Game ni ile kuwa na Gadner ambae ni presenter....In short, exposure! Ukiondoa hay, Jide is far behind compared to Afande Sele! Afande ni anga zingine....Hii ndo aina ya wasanii tuliona,
amejibu swali lipi, aliulizwa na nani?
I knw afande selle kabla hajakwenda ujeda zenji, asijikwatue kkujaribu kujifananisha na Jide, hamfikii hata Mita 2, si wa idadi ya mashabiki, status ya mashabiki maisha hata kibiashara!
Sasa ikiwa mnafahamu status za mashabiki wa JIDE kulikoni mna-dis show zote ambazo kimsingi ni kweli kabisa aina ya mashabiki wa show zote hizo ni tofauti kabisa na wale wanaoingia show za Jide!! Kusikia Kikosi tu mashabiki wa Jide mnaweweseka, what ingekuwa ndo Skylight Band? Si ndo mngeenda mahakamani kabisa kuweka pingamizi?Hafanani na JIDE hata angefanyeje!, status za mashabiki wa Jide zineleweka, Jide asingethubutu kumwalika maana angeharibu show!
Muziki ni biashara wangu.....ikiwa Afande hakuwemo kwenye show ya Jide ulitaka mchongo wowote wa show atakaopata aupotezee kwavile tu Jide anapiga show hiyo siku at the time ambapo Jide ana bifu lenye MASLAHI BINAFSI dhidi ya Clouds? Yaani mtu uache kupiga hela kwa ajili ya mabifu ya watu?! JIde anatetea maslahi yake binafsi na wala sio ya wengine!!Huyu king sele simshangai hata siku moja ni kama remote anavyopelekwa na rugay.
Kimafanikio ni kweli hajamfikia lakini lazima ufahamu kwenye game la muziki wa bongo flavor kufanikiwa ni zaidi ya uwezo wa kimuziki wa msanii husika!! Kilichomtoa zaidi Jide sio uwezo wake kimuziki bali kuwa ndani ya channel za kimuziki; particularly, hawa hawa Clouds na Ruge ambao anawa-diss! Kingine ambacho kimemfanya Jide kuendelea kuwa ndani ya Game ni ile kuwa na Gadner ambae ni presenter....In short, exposure! Ukiondoa hay, Jide is far behind compared to Afande Sele! Afande ni anga zingine....
Nakubaliana na wewe kwa 100% na hapo ndipo linapokuja suala la tofauti ya mashabiki ambao kila mmoja anao!! Kuna wengine wanapenda muziki bila kusahau suala la personality ya mtu/mwanamuziki husika....lakini kuna wengine hatujali personality/status ya mtu bali tunajali kazi yake coz' tunafahamu haya mengine yanachangiwa sana na michakato ya maisha ya mtu kwa kila hatua anayopiga! Tunapozungumzia masuala ya burudani, haya ya akina Afande hayakwepeki, hayakuanza leo wala jana na hakika yataendelea kuwepo ingawaje kwa kiasi kikubwa yanaharibu sana tasnia ya burudani hususani kwa watu ambao wangependa burudani na personality ya mtoa burudani viende pamoja! na ubaya zaidi ni kwamba, ingawaje kwa kawaida wapenda burudani na good personality ya mtoa burudani sio wapenz wakubwa wa burudani lakini lililo wazi ni kwamba hawa watu ndio wenye uwezo wa kumfanya mtoa burudani apate mafanikio! watu kama hawa huwa wanatishwa zadi na personalities za watu kama akina Afande coz' wanajua ukiwazingua na wao watakuzingua tu!!Jide ananidhamu anajitambua na anajithamini!Afande Sele hana nidhamu,hajitambui na hana msimamo!Nyimbo zao wote nazipenda!Ila quality ya Jide imenifanya nivutiwe naye sana.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Nini asili ya kujiita "Afande"?
alishawai kutumikia Jwtz, alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu.!!
we hiyo boxer ni analogi zidadumu hizo hata miaka mitatu inafika! hahahahahaha
Mimi kufanya show ya kikosi tarehe 31 hata bendi na wasanii kibao wanashow zao usiku huo. Na zaidi mimi siwezi kuacha pesa wakati mziki ndio kazi yangu na silishwi na Jide wala Sugu maisha yangu ni mziki na kimsingi pesa niliyopewa inalipa, show yake ya tarehe 31 hakunipa mchongo hivyo mimi nitakataaje show ya kikosi wakati ni artist wenzangu tena wa hip hop nawamenipa show kwa kuthamini mchango wangu katika game tofauti na Jide aliwapa dili kina Barnaba, Lina mpaka wamemwaga.