kwa maana hiyo je kuhusu meals na accomodation hawatoi kabsa au kujilipiaMkurugenzi akijibu maswali ya watu waliofka kuhoji kwa nini wamekosa mkopo,amewajibu "WALIOPATA WAMEPATA NA WALIOKOSA HAWATAPATA"Cha kuwapa moyo amewaambia wakate rufaa na wasubiri majibu ndani ya 90 days..! Hata hvyo criteria za kupata mkopo KIGEZO KIMOJAWAPO AKASEMA CHETI CHA KIFO KAMA WEWE NI YATIMA, na akasema kuwa kama kuna m2 kanyimwa mkopo na niyatima..apeleke death certificate ili apewe mkopo!..updatedboy!
kwa maana hiyo je kuhusu meals na accomodation hawatoi kabsa au kujilipia
Mkurugenzi akijibu maswali ya watu waliofka kuhoji kwa nini wamekosa mkopo,amewajibu "WALIOPATA WAMEPATA NA WALIOKOSA HAWATAPATA"Cha kuwapa moyo amewaambia wakate rufaa na wasubiri majibu ndani ya 90 days..! Hata hvyo criteria za kupata mkopo KIGEZO KIMOJAWAPO AKASEMA CHETI CHA KIFO KAMA WEWE NI YATIMA, na akasema kuwa kama kuna m2 kanyimwa mkopo na niyatima..apeleke death certificate ili apewe mkopo!..updatedboy!
dah! wanatuonea sana. yaan hata boom sa tutaishije? dah bora wangetupa hata boomyeah ndivyo ilvyo wazi?
dah! wanatuonea sana. yaan hata boom sa tutaishije? dah bora wangetupa hata boom
Mimi nimepeleka na mkopo sikupata
Kura yangu 2015 itakwenda chadema haki ya munguu....!!!
Mimi nimepeleka na mkopo sikupata
majangaa mbona majangaaa
tunapeleka lini hivyo vyet vya vifo
unadhan chadema ndo watafanya kazi vizur?? wakipewa madaraka nao wataanza kujilimbikizia tu,,ni mwendo wa chukua chako mapema,,taifa limeingiliwa tena chadema ndo wachaga haswaaa,,watatukamuajeee
Mm nmeambatanisha vyote, na ckuwemo kwa waliokuwa na matatzo, lakn cjapata mkopo, sasa npeleke chet gan tena? Hawa washenz kwel