unadhan chadema ndo watafanya kazi vizur?? wakipewa madaraka nao wataanza kujilimbikizia tu,,ni mwendo wa chukua chako mapema,,taifa limeingiliwa tena chadema ndo wachaga haswaaa,,watatukamuajeee
Usiwe mweu,swala ni kwamba tunataka mabadiliko,,,ccm tunatoa,tunaweka cdm,,nao tuone kama kweli watatukamua,,,sasa saiz unasema watatukamua wao wamewai kukaa madarakani?be critical,,,usiweke hisia hapa,,nnenda fb,,kaweke huko