Majibu ya bodi kwa waliokosa mkopo

ndipo muone vijana serikali yenye utajiri na viongozi waliojilimbikizia pesa nyingi uswis. inaumasana watoto wa maskini na wakulima hakuna shule tena

wasikate tamaa,jesh lipo kwa ajili yao! Updatedboy
 
dah! wanatuonea sana. yaan hata boom sa tutaishije? dah bora wangetupa hata boom

usikate tamaa,u az a soldier do never retreat nor surrender!SONGA MBELE WE NENDA CHUO KILA KI2 KITAJIPANGA MBELE YA SAFARI!
 
jaman hawa jamaa wangetuhurumia hata kidogo ss mayatima jaman
 
hawa bodi ni majizi wakubwa tena majambaz ya kalamu sugu!inamaa hyo vyeti vya yatima vilivoambanishwa mwanzo hawakuviona?!kwan pia hakuna wa2 wenye wazaz wote wa2 wasio na uwezo wa kuwasomesha watoto wao?
 
hawa bodi ni majizi wakubwa tena majambaz ya kalamu sugu!inamaa hyo vyeti vya yatima vilivoambanishwa mwanzo hawakuviona?!kwan pia hakuna wa2 wenye wazaz wote wa2 wasio na uwezo wa kuwasomesha watoto wao?

imexomeka mkuu,wazi?
 
kwa maana hiyo je kuhusu meals na accomodation hawatoi kabsa au kujilipia

km umekosa mkopo ni kwamba hutopata chochote,kila kitu ujigharamie mwenyewe kuanzia meals,stationary,accomodation bila kuisahau tuishen fees!!!
 
mmmmh! Joyce Mgaya leo amekuwa mkurugenzi co bhanaa Mkurugenz al tokea jion xanaa na waliopata nafasi ya kuongea nae ni watu wawil tu nikiwemo mimi kasema kesho
mapema tuwe pale ataongea nasi
 
Moja ya watumishi wa HESLB amenukuliwa akisema kuwa wengi ya waliokosa mkopo wana sifa hizi1. Wamesoma private schools eiher o-level au a-level.2. Ni equivalant applicant yani wana diploma.3. Walishawahi kupata loan kabla na labda waka disco chuo au wakaacha chuo.3. Course walizopangiwa ni non priority.Amini usiamini, asilimia 90 ya walioenda bodi leo wana sifa hizo, aliyekuwepo bodi leo atanisaidia juu ya hili!
 
Tushawazea na mjibu yao yakukandamiza wanyonge

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wao watoe pesa za walipakodi kwa watoto wa masikini wasisingizie vigezo
 
unadhan chadema ndo watafanya kazi vizur?? wakipewa madaraka nao wataanza kujilimbikizia tu,,ni mwendo wa chukua chako mapema,,taifa limeingiliwa tena chadema ndo wachaga haswaaa,,watatukamuajeee

futa kauli tafadhali,wenje,slaa zito athuman,lisu na wengneo n wchaga?jinga we na kama umekosa n mjawapo ndo utaijua ccm yko ikoje.
 
Huyu mkurugenzi atakuwa ana matatizo, kwani wote walipata mkopo ni mayatima na walipeleka vyeti vya vifo? Mbona wapo wenye wazazi wote wawili na ni wadosi na mikopo wamepata??Ametoa jibu la kipuuzi sana.
 
Acha ulimbukeni, Chukua Chako Mapema kamwe haiwezi kuwa kwa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…