K KG.KASELO JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 252 Reaction score 20 Oct 1, 2013 #61 SODOKA said: unadhan chadema ndo watafanya kazi vizur?? wakipewa madaraka nao wataanza kujilimbikizia tu,,ni mwendo wa chukua chako mapema,,taifa limeingiliwa tena chadema ndo wachaga haswaaa,,watatukamuajeee Click to expand... Usiwe mweu,swala ni kwamba tunataka mabadiliko,,,ccm tunatoa,tunaweka cdm,,nao tuone kama kweli watatukamua,,,sasa saiz unasema watatukamua wao wamewai kukaa madarakani?be critical,,,usiweke hisia hapa,,nnenda fb,,kaweke huko
SODOKA said: unadhan chadema ndo watafanya kazi vizur?? wakipewa madaraka nao wataanza kujilimbikizia tu,,ni mwendo wa chukua chako mapema,,taifa limeingiliwa tena chadema ndo wachaga haswaaa,,watatukamuajeee Click to expand... Usiwe mweu,swala ni kwamba tunataka mabadiliko,,,ccm tunatoa,tunaweka cdm,,nao tuone kama kweli watatukamua,,,sasa saiz unasema watatukamua wao wamewai kukaa madarakani?be critical,,,usiweke hisia hapa,,nnenda fb,,kaweke huko