kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki.
CCM imejaa viongozi wabinafsi sana wananchi wenye akili wanaliona hilo, wamevuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na bado wanataka kuvuruga hadi chaguzi za vyama vya siasa vya upinzani , hii ni roho mbaya sana
Vyombo vya ulinzi na usalama mnahangaika na hayo kwa maslahi ya nanii? Mnaweza dhani mna hangaika kwa maslahi ta CHAMA tawala kumbe mnauwa watanzania wenzenu kwa maslahi ya kakikundi kadogo ndani ya chama kanako jitajirisha na ufisadi na udokozi wa mali za taifa ambazo zingekuja kuwafaa hata watoto na wajukuu zenu hapo baadae.