PreGE2025 Majibu ya CHADEMA kwa Msajili kuhusu malalamiko ya Lembrus Mchome ya Ukiukwaji wa Katiba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama.

Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa kwa Msajili baada ya kutoridhika na majibu ya Katibu Mkuu, na si ombi la uchunguzi. Wamesisitiza kuwa Msajili hana mamlaka ya kisheria kusimamia uchaguzi wa ndani wa vyama wala kupokea rufaa za wanachama, bali jukumu lake ni kuangalia uchaguzi.

Hata hivyo, CHADEMA imesema iko tayari kuwasilisha taarifa iwapo Msajili ataeleza ni kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria anahitaji taarifa hizo, na kwa madhumuni gani ya kisheria. Wamesisitiza kuwa malalamiko ya wanachama yanapaswa kushughulikiwa ndani ya mfumo wa chama.

=====

YAH: MALALAMIKO KUHUSU UKIUKWAJI WA KATIBA YA CHAMA CHENU

1. Tumepokea barua yako yenye Kumb.Na. HA.322/362/16/121 yenye kichwa hicho hapo juu. Katika barua yako ulitutaarifu kuwa mnamo tarehe 18 Machi 2025 ulipokea barua kutoka kwa mwanachama wetu Bwana Lembrus K. Mchome "akieleza kuwa, Kikao cha Baraza Kuu Taifa mlichofanya tarehe 22 Januari 2025 kilikuwa kikao batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba yenu ili kuwa kikao halali." Aidha, kuwa "katika kikao hicho ndani ya ukumbiwalikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na masharti ya Katiba yenu."

2. Kutokana na hayo malalamiko yako Ofisi yako imetuandikia, eti kwa mujibu wa Kifungu cha 5B cha Sheria ya Vyama vya Siasa Sura Namba 258 inaitaka CHADEMA Kuwasilisha maelezo kuhusu malalamiko hayo ya Bwana Lembrus K. Mchome ili "Msajili wa Vyama vya Siasa afahamuanachoeleza Bwana Lembrus K. Mchome ni kweli au hapana na achukue hatua stahiki endapo ni kweli.

3. Ukatutaka Kuwasilisha maelezo yetu katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa siyo zaidi ya tarehe 31 Machi 2024(sic) saa tisa na nusualasiri.

4. Katika barua yako kwetu hukuambatanisha barua ya Bwana Lembrus Mchome kwakobali ile aliyomwandikia Katibu Mkuu mnamo tarehe 18 Februari 2025. Lakini sisitunayo hiyo barua ya tarehe 15 Machi 2025 ya Bwana Lembrus Mchome kwako na ambayo alikuandikiaakikata rufaa kwako na alisema:

"Nakuandikia barua hii kukata rufaa kwa kutoridhika na majibu niliyopokea kwa Katibu Mkuu"
Aidha Akaendelea kudai:

Kwa mujibu wa kifungu cha 4(5) (b) cha Sheria ya Vyama vya Siasa, Ofisi yako ina wajibu wa kusimamia chaguzi za ndani ya (sic) ya Vyama vya Siasa.

5. Tunachokijua kwa mujibu wa barua ya Bwana Lembrus K. Mchome ni kuwa amekata rufaa kwako na si kuwa alikutakaufanye uchunguzi bali ameleta rufaa kwako.

6. Tunapenda kusema kuwa kwa uelewa wetu wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Kifungu hicho cha 5B, ambacho unadaikinakupa madaraka ya kupewa unachokitaka, ni kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kusimamia chaguzi za vyama vya siasa na si mamlaka ya rufaa kwa mwanachama ambaye hajaridhika na maamuzi ya Chama.

Aidha, sheria ya Vyama vya Siasa haiipi ofisi yako madaraka ya kusimamia uchaguzi bali kuangalia uchaguzi. Hivyo kwa kuwa Ofisi yako si Mamlaka ya Rufaa Chadema inasema kuwa takwa lako kwetu ni kinyume cha Katiba ya Chadema na kinyume kabisa na Sheria ya Vyama vya Siasa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

7. Bila kubadilisha tuliyoyasema hapo, Chadema itakuwa tayari kabisa kukupa taarifa unazozitaka kama utatueleza kwa kina na wazi kabisa kuwa kwa taarifa hizo zitakuwezesha kutekeleza kifungu kipi cha Sheria ya Vyama vya Siasa kinachoipa Ofisi yako madaraka ya kupokea na kuamua rufaa za wanachama wa vyama vya siasa kwa upande mmoja au taarifa hizo zinaiwezesha Ofisi yako kutekeleza jukumu lipi la kisheria juu ya taarifa za vikao vya kawaida vya chama cha siasa.

8. Tunatumai kuwa Ofisi yako itatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kushughulika suala hili kwa kuheshimu Sheria ya Vyama vya Siasa, Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na vile vile kujua kuwa mwanachama yeyote yule wa Chadema anatakiwa kutumia vyombo vya ndani vya chama kupata suluhu la malalamiko yake.

Pia, Soma
 
Attachments

Msajili hana mamlaka ya kupokea rufaa ya mwanachama, chama kina ngazi za rufaa kuna kamati kuu, kuna baraza kuu na mkutano mkuu.
 
CDM imejaa vichwa na si mikia kama wao
Eti ofisi ya msajili ina-deal na rufaa ya mwanachama badala ya vikao vya chama.
Huyo lazima atakuwa Sis maana akitumwa uwa haulizi ufahamu wake kwanza.
 
Msajili hana mamlaka ya kupokea rufaa ya mwanachama, chama kina ngazi za rufaa kuna kamati kuu, kuna baraza kuu na mkutano mkuu.
Awaulize akina Halima Mdee aka COVID 19 kwa ofisi ya msajili haijui??
 
Huyu sio hata wa kumjibu takataka tu

Muhuni ajibiwe kihuni

Ajibiwe field!?
muhuni inaonesha ni wewe sasa

mkuu,hawa watu wanataka ku-weaponize sheria ili kuifutilia mbali chadema,kwa majibu yako ndio unaingia mtegoni kabisa

hizi chess zinazochezwa inatakiwa uzijue na jinsi ya kuziepuka kutompa ccm na machinery zake kupata sababu

sasa shupaza shingo uone hatari yake

lissu ananyea debe mpaka leo,walitafuta kauli moja tu hiyo hiyo wameitumia kumuweka korokoroni

anaepoteza zaidi ni lissu na chadema maana wanapotezewa muda na gharama zao

pili,msipokua makini na msajili mjaa kwenye mfumo na mtaumizwa zaidi,kaeni chini tumieni akili sawasawa muwashinde kwenye their own game

infact ni kweli akidi ilikua haijfika,kuna namna ya kukwepa,ila sio kushupaza shingo kuendelea kuwapa mwanya wa kuwazamisha zaidi

think harder mzee...this is not checkers hii ni chess
 
Kijana, yaani kwa unavyowataka wana Chadema, watimize mashariti batili kwa kuhofia kufutwa kwa chama au kukamatwa na kufungwa?

Mbona wamefungwa sana mkuu,

Iko hivi, kwenye maisha, ni heri ufe huku ukitetea kilicho haki yako na kwa Mungu utakuwa huna hatia!

Na ndiyo maana wengi wenu mmeamua kuwa machawa ili mpewe kile kilichokuwa haki yenu
 
Aiseee 😁

Yesu alipofika karibu Aliuona mji akaulilia akisema laiti ungelijua yapasayo laiti ungelijua Amani
Naye akafika mahali akasema Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza hiyo iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Tiro na Sidoni, wangalitubu tangu hapo, huku wakiketi katika nguo za kigunia na majivu wakiziungama dhambi zao
 
Kijana, yaani kwa unavyowataka wana Chadema, watimize mashariti batili kwa kuhofia kufutwa kwa chama au kukamatwa na kufungwa?
mkuu,who cares ni batili machoni mwako?

ni badili kwako ila ccm na mfumo mzima wa kiserikali walioushika upon weaponization wa kuumia ni wewe na mtoa tafsiri ni yeye

sasa wewe acha kutumia akili sawa sawa uone hasara utakazopata

kutotumia akili katika kulikabili ndio wanataka uingie kwenye mfumo wao sawa sawa....

dhumuni ni kukupotezea muda na kukupunguza nguvu tu,na ukizubaa wanakuua mazima kama walivyoua vyama vingine....

sasa tumia emotions kudeal na hili kama mtoto halafu uone hasara zake

Mbona wamefungwa sana mkuu,
kufungwa sio sifa

they want you to deal with court systems usifanye siasa uwaache waende kwa wepesi

those are the things they want

kama hulioni hilo utakua na kichaa
Iko hivi, kwenye maisha, ni heri ufe huku ukitetea kilicho haki yako na kwa Mungu utakuwa huna hatia!
yaani ufe sababu ya siasa?

una akili timamu mkuu?

na ukishaanza mtaja mungu na "kumuachia mungu" tayari inaonesha huna majawabu ya hawa watu na una akili ndogo

aint no political cause worth dying for au worth losing all your wealth on.

politics is a game,wewe kama unachukulia kwa emotions ndio unaleta huu utoto

siasa ni kutumia akili usife,usipotezewe muda,usipoteze mali,usipoteze taasisi,usiweke emotions,usipoteze wanachama wako,usipoteze viongozi wako,usipoteze muda mahakamani,etc

nowadays siasa ni formalized system na ni lazima ufanye siasa ndani ya hiyo system huwezi fanya nje ya hiyo system..

kama unashindwa kuitumia hiyo system into your own advantage kwa kutumia akili za kuzaliwa then heri ukalime
Na ndiyo maana wengi wenu mmeamua kuwa machawa ili mpewe kile kilichokuwa haki yenu
mkuu mimi sio chawa

sipo ccm wala sina chama chochote

siamini kwenye siasa maana naamini hakuna mwanadamu wa kumsimamia mwanadamu mwingine kwa lolote

kila mwanadamu ajisimamie binafsi yake

nimesimama nje naangalia hii game yenu naona upinzani mnavyokua emotional na kutokutumia akili sawa sawa

maccm yanatumia mifumo yake kupambana na nyie,sasa wewe usipotumia upana wa ubongo wako zaidi kuhakikisha unamshinda yeye na mifumo yake then itabidi ulete hizi options zako za kijinga eti ni heri kumuachia mungu au sijui ni heri uwawe

only mjinga asieweza tumia ubongo wake sawa sawa ndio anaona options za kufungwa na kuuwawa ndio bora kama wewe unavyotuambia hapa
 
Msajili hana mamlaka ya kupokea rufaa ya mwanachama, chama kina ngazi za rufaa kuna kamati kuu, kuna baraza kuu na mkutano mkuu.
Jaji mtungi mda wake wa kukaa ofisini ulikwisha kitambo yupo ofisini kimyume cha sheria ndiyo maana kaamua kujitoa fahamu na kufanya mambo ya hovyo kisa anajipendekeza kwa ccm
 
Lisu akisema hawana akili ,anafunguliwa mashitaka
Dawa ya kuwakomesha chawaccm wanaozidi kuwa watesi wa chadema kila kukicha ni kuwafungulia mashitaka mahakama za ndani na mahakama za haki za binadamu za kimataifa
 
CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa kukiuka Katiba ya chama.

Katika majibu yao, CHADEMA wameeleza kuwa barua ya Mchome ilikuwa ni rufaa kwa Msajili baada ya kutoridhika na majibu ya Katibu Mkuu, na si ombi la uchunguzi. Wamesisitiza kuwa Msajili hana mamlaka ya kisheria kusimamia uchaguzi wa ndani wa vyama wala kupokea rufaa za wanachama, bali jukumu lake ni kuangalia uchaguzi.

Hata hivyo, CHADEMA imesema iko tayari kuwasilisha taarifa iwapo Msajili ataeleza ni kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria anahitaji taarifa hizo, na kwa madhumuni gani ya kisheria. Wamesisitiza kuwa malalamiko ya wanachama yanapaswa kushughulikiwa ndani ya mfumo wa chama.

=====

YAH: MALALAMIKO KUHUSU UKIUKWAJI WA KATIBA YA CHAMA CHENU

1. Tumepokea barua yako yenye Kumb.Na. HA.322/362/16/121 yenye kichwa hicho hapo juu. Katika barua yako ulitutaarifu kuwa mnamo tarehe 18 Machi 2025 ulipokea barua kutoka kwa mwanachama wetu Bwana Lembrus K. Mchome "akieleza kuwa, Kikao cha Baraza Kuu Taifa mlichofanya tarehe 22 Januari 2025 kilikuwa kikao batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba yenu ili kuwa kikao halali." Aidha, kuwa "katika kikao hicho ndani ya ukumbiwalikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na masharti ya Katiba yenu."

2. Kutokana na hayo malalamiko yako Ofisi yako imetuandikia, eti kwa mujibu wa Kifungu cha 5B cha Sheria ya Vyama vya Siasa Sura Namba 258 inaitaka CHADEMA Kuwasilisha maelezo kuhusu malalamiko hayo ya Bwana Lembrus K. Mchome ili "Msajili wa Vyama vya Siasa afahamuanachoeleza Bwana Lembrus K. Mchome ni kweli au hapana na achukue hatua stahiki endapo ni kweli.

3. Ukatutaka Kuwasilisha maelezo yetu katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa siyo zaidi ya tarehe 31 Machi 2024(sic) saa tisa na nusualasiri.

4. Katika barua yako kwetu hukuambatanisha barua ya Bwana Lembrus Mchome kwakobali ile aliyomwandikia Katibu Mkuu mnamo tarehe 18 Februari 2025. Lakini sisitunayo hiyo barua ya tarehe 15 Machi 2025 ya Bwana Lembrus Mchome kwako na ambayo alikuandikiaakikata rufaa kwako na alisema:

"Nakuandikia barua hii kukata rufaa kwa kutoridhika na majibu niliyopokea kwa Katibu Mkuu"
Aidha Akaendelea kudai:

Kwa mujibu wa kifungu cha 4(5) (b) cha Sheria ya Vyama vya Siasa, Ofisi yako ina wajibu wa kusimamia chaguzi za ndani ya (sic) ya Vyama vya Siasa.

5. Tunachokijua kwa mujibu wa barua ya Bwana Lembrus K. Mchome ni kuwa amekata rufaa kwako na si kuwa alikutakaufanye uchunguzi bali ameleta rufaa kwako.

6. Tunapenda kusema kuwa kwa uelewa wetu wa Sheria ya Vyama vya Siasa na Kifungu hicho cha 5B, ambacho unadaikinakupa madaraka ya kupewa unachokitaka, ni kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina mamlaka ya kusimamia chaguzi za vyama vya siasa na si mamlaka ya rufaa kwa mwanachama ambaye hajaridhika na maamuzi ya Chama.

Aidha, sheria ya Vyama vya Siasa haiipi ofisi yako madaraka ya kusimamia uchaguzi bali kuangalia uchaguzi. Hivyo kwa kuwa Ofisi yako si Mamlaka ya Rufaa Chadema inasema kuwa takwa lako kwetu ni kinyume cha Katiba ya Chadema na kinyume kabisa na Sheria ya Vyama vya Siasa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

7. Bila kubadilisha tuliyoyasema hapo, Chadema itakuwa tayari kabisa kukupa taarifa unazozitaka kama utatueleza kwa kina na wazi kabisa kuwa kwa taarifa hizo zitakuwezesha kutekeleza kifungu kipi cha Sheria ya Vyama vya Siasa kinachoipa Ofisi yako madaraka ya kupokea na kuamua rufaa za wanachama wa vyama vya siasa kwa upande mmoja au taarifa hizo zinaiwezesha Ofisi yako kutekeleza jukumu lipi la kisheria juu ya taarifa za vikao vya kawaida vya chama cha siasa.

8. Tunatumai kuwa Ofisi yako itatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na kushughulika suala hili kwa kuheshimu Sheria ya Vyama vya Siasa, Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na vile vile kujua kuwa mwanachama yeyote yule wa Chadema anatakiwa kutumia vyombo vya ndani vya chama kupata suluhu la malalamiko yake.

Pia, Soma
majibu ya chama si yalishatolewa na heche jana, au ule ulikua uropokaji binafsi ingawa alisema ndio msimamo wa chama?🐒
 
kwahiyo kama ni jaji anajaji tu kila mahali bila kufuata sheria,taratibu na katiba za vyama vya siasa,bali anafanya kazi kwa utashi wa ccm

Msajili hana mamlaka ya kupokea rufaa ya mwanachama, chama kina ngazi za rufaa kuna kamati kuu, kuna baraza kuu na mkutano mkuu.
Msajiliccm hafanyi kazi kwa mjibu wa sheria kwa sasa bali anafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka ccmj
 
Back
Top Bottom