F funza JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 11,294 Reaction score 6,462 May 14, 2025 #21 Tlaatlaah said: majibu ya chama si yalishatolewa na heche jana, au ule ulikua uropokaji binafsi ingawa alisema ndio msimamo wa chama?π Click to expand... Uropokaji unao wewe hapo ghetto unaposhinda ukivuta bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kukumbatia mambo yenu ya hovyo I
Tlaatlaah said: majibu ya chama si yalishatolewa na heche jana, au ule ulikua uropokaji binafsi ingawa alisema ndio msimamo wa chama?π Click to expand... Uropokaji unao wewe hapo ghetto unaposhinda ukivuta bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni kukumbatia mambo yenu ya hovyo I
Zegreaty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 2,504 Reaction score 3,188 May 14, 2025 #22 johnthebaptist said: Msajili ni Jaji wa Mahakama kuu ujue Click to expand... Ni sisiemu pia ujue
M Magobe T JF-Expert Member Joined Mar 19, 2008 Posts 5,887 Reaction score 4,103 May 28, 2025 #23 johnthebaptist said: Msajili ni Jaji wa Mahakama kuu ujue Click to expand... Kinachotakiwa ni ushahidi kwamba Chadema wamekiuka sheria gani, na msajili ametumia sheria gani kufanya aloyoyafanya, na si kwamba yeye ni Jaji.
johnthebaptist said: Msajili ni Jaji wa Mahakama kuu ujue Click to expand... Kinachotakiwa ni ushahidi kwamba Chadema wamekiuka sheria gani, na msajili ametumia sheria gani kufanya aloyoyafanya, na si kwamba yeye ni Jaji.