Natamani sana ingekuwa hivyo; lakini tatizo lako ni kuwa unasahau kwamba Tanzania hii hii tumwahi kuwa karibu zaidi miongoni mwetu kama waTanzania kuliko ilivyo leo.Baada ya Miaka 20 hizi dini hazitakuwa na nguvu tena hawa watanzania wanazidi kujielewa huwezi kuwatenganisha Kwasababu ya misingi ya Imani
LOOOOooh!
Hii simulizi ni kweli mkuu na Ina mwendelezo wake.. Mke naye kaongea Ila kaongea nyodo sana😂LOOOOooh!
Mkuu 'Mshana' unaweza kuvunja mbavu za watu hivi hivi! Nimecheka sana, na baadae nilipotulia nikapatwa na huzuni kubwa!
Mkasa huu unafikirisha sana Unaweza kuutumia kuwa kielelezo cha maswala mengi tuliyonayo katika jamii yetu.
Sasa huyu wa vipande vya nyama, si ni bora kuliko akina Adulla wenye mapande ya nyama, lakini bado hayatoshi!
Hebu Kwanza: Hii kweli siyo uigizaji (comedy)? huyu bwana anaonekana kuwa muigizaji mzuri sana.