Majibu ya Diamond kuhusu mwanawe Tiffa kuolewa na mtoto wa Ali Kiba

Majibu ya Diamond kuhusu mwanawe Tiffa kuolewa na mtoto wa Ali Kiba

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Kutoka ndani ya XXL leo November 22, 2016 U Heard imekuja na stori kuhusu picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha watoto wa mastaa wa Bongo Flava, Diamond Platnumz na Alikiba huku ikiwa imeandikwa (Natamani mkikua mje kuoana ili baba zenu wapatane).

Kwa mujibu wa Soudy Brown baada ya kuzagaa kwa picha hiyo, kuna tajiri fulani jijini Dar es salaam ambaye inadaiwa ni shabiki wa wasanii hao, amejitokeza na kusema yuko tayari kumlipia mahari mtoto wa Alikiba ili aje kumuoa Tiffa, mtoto wa Diamond.

Soudy Brown amezungumza na Diamond Platnumz kuhusu suala hilo na je ana maamuzi gani juu ya mwanaye kutolewa mahari.

“Ntampiga hela zake hatokaa aamini, sijajua ntataka walipe kiasi ila sitatoa bure uislamu huo sina mimi, eti sijui uje tu na kitabu aaah wapi, hapa hela tu tena itakua hela nyingi sana labda itokee mwenyewe atunuku ila kama atanisikiliza mimi baba yake atapiga hela nyingi tu hata Dola milioni 1 ndogo” – Diamond
 
1479838735182.png
 
Itakua ndoa ya aina yake..
Tena hata diamond asiongee hivo mana mfano ndo msichana kapenda atafanyaje? Na mwanamke akipenda.there is nothing you can do about it to separate them
 
Back
Top Bottom