Majibu ya Diamond kuhusu mwanawe Tiffa kuolewa na mtoto wa Ali Kiba

Kwenye swala la mapenzi mi naona mondi angekausha tu maana huyo tifa hana tofauti na wengine,atabikiriwa bila yeye kujua na ataolewa na mwanaume anayemtaka yeye tena akiwa na mimba kabisa, yeye mwenyewe hana mke anapewa bure tu na yule bibi
 
Mkuu unajua maana ya bure?hata kununua condom tu tayari bure imepotea.
 
Tena baba ukileta mikwala ya panya kumuumiza paka, eeeh utaaibika sekunde chache
 
Labda achukue pesa tu lkn hawezi kuozesha kwa sheria ya Dini. ...kwa sababu ni mtoto Wa zinaa! !!
 
Ata angekua wa ndoa mahari anataja mwenyewe mtoto na ni yake sio ya baba wala mama
 
Back
Top Bottom