Hongera san mkuuMm ndo nlikuwa nampumulia kisogoni pamoja na yule baba ako(kaoge)
Basi hata huyo mtoto wa Ali sio wa kwake au ushawahi kusikia Ali kaoa?!Ki-uislam Tiffah sio mtoto wa Mondi bali wa Zari (Kwa mujibu wa dini mtoto anayezaliwa nje ya ndoa huwa ni wa mama tu)
Akitoa hayo meno ya mwanzo baadae yataota mengine ambayo sio lazima yafanane na hayo ya mwanzo yaweza kuota huo mwanya usiwepoKatoto cha Kiba katakuja kuwa kama mzee Majuto.Meno yana mianya mingi
Kweli nimeamini hii ni JF nimecheka balaaaaKatoto cha Kiba katakuja kuwa kama mzee Majuto.Meno yana mianya mingi
Mkuu unajua maana ya bure?hata kununua condom tu tayari bure imepotea.Kwenye swala la mapenzi mi naona mondi angekausha tu maana huyo tifa hana tofauti na wengine,atabikiriwa bila yeye kujua na ataolewa na mwanaume anayemtaka yeye tena akiwa na mimba kabisa, yeye mwenyewe hana mke anapewa bure tu na yule bibi
Wajuaji hawakosekani na kizuri hakikosi kasoroAkitoa hayo meno ya mwanzo baadae yataota mengine ambayo sio lazima yafanane na hayo ya mwanzo yaweza kuota huo mwanya usiwepo
Hasadi hana sababuHata hana uwezo wa kujibu maswali, sijui anatungaje mimbo yake, itakuwa anatungiwa.
Labda achukue pesa tu lkn hawezi kuozesha kwa sheria ya Dini. ...kwa sababu ni mtoto Wa zinaa! !!
Katoto cha Kiba katakuja kuwa kama mzee Majuto.Meno yana mianya mingi