Bwaahahahahhahahhha
hahahahahahahhaha
kwakakakakakakakkakwakwa
Hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
usiwadanganye wenzako kwanza kapata ushindi wa kawaida sana tofauti na mashabiki zake mlichotegemea la pili tukumbuke KTMA alikuwa na 7 akaja akapata 2,then za nje alianza na 3 sasa ni 1,fanya tathmin then tuambie anapandaaa au anashuka?...ki ukweli dimond kwa uimbaji hamuwez Ali kiba labda azaliwe mara ya pili na ajifunze kuimba akiwa na mwaka mmoja,kimaendeleo kamzid bt kiba ni kazaliwa ili aimbe yaan...mashabiki wa mond ndo mnamtengenezea mazingira magumu dogo kwa watanzania coz ya maneno yenu bt nae pia mtu wa kuprovoke sana....wasanii wote wa Tanzania waloingia kwenye AFRIMMA wamefanya kazi na wasanii wa nje ya Tanzania kwenye nyimbo zao lakini Kibba kaingia bila "kick" ya aina hiyo...kaa chini tafakari then jibu baki nalo..nb dimpoz ft j.martins,Vanesa ft ko(no one bt me),diamond ft davido,mr flavour bt KIBA ft whom 1?...bt he is inside also...napita zangu nmefunga 6...

kama kapata tuzo ya MTV bila support ya team wema kiba, ommy na jokate, huogopi?? ndio maana kaamuwa kuwanyoosha coz imethibitika muungano wa team zoote hizo hauna effect kabisa kwenye maendeleo yake.
Mshahuri Huyo mtu wako kwamba, hayo maneno maneno angewaachia mashabiki yeye akakaa kimya! Mwenzake yuko cool sana. Na ndio maana anapendwa.
Inakusaidia nini kuandika maneno mengiiii badala ya kupiga kura?i can see kiba yeye maneno maneno kawaachia mashabiki zake ndio maana mashabiki ni maarufu na ndio wanaosikika zaidi kuliko yeye, sasa mfanye kwenda kutuwakilisha huko mbelee, sisi waTZ tunachotana ni wasanii kutumia vipaji vyao, uwezo ubunifu kututangaza kwa watu wa nje, kwasababu mpenzi wenu mmempiga zipu nene hajulikani yupo wapi anafanya nini na ameplan nini,yeye hajitangazagi mwenyewe hataki sifa. matokeo yake si ndio haya sasa, wakati mwenzake ana nominations 7 yeye ana moja si ndio hapendi sifa, ule wimbo wetu bora wa mwaka umefikia wapi kisoko, tatizo la mashabiki wa kiba mlipanda na lift ya maneno mpaka ghorofa ya mia mkidai hapo ndipo kiba alipo lakini kiuhalisia mlimuacha kiba ghorofa ya kwanza anapanda zake na ngazi, sasa ushauri wangushukeni tuu kwa kasi ile ile mliopanda nayo mkamsaidie apande taratibu, kufika hapo mnapotaka atafika lakini sio sasa, huyo diamond mnaempiga vita sasa hakupanda ghafla jasho lilimtoka ndio maana daima nitasimama upande wake
Inakusaidia nini kuandika maneno mengiiii badala ya kupiga kura?
Yaani nyie jamaa mna vituko; hamna facts zaidi ya kuongozwa na emotion! Hebu twende taratibu:usiwadanganye wenzako kwanza kapata ushindi wa kawaida sana tofauti na mashabiki zake mlichotegemea la pili tukumbuke KTMA alikuwa na 7 akaja akapata 2,then za nje alianza na 3 sasa ni 1,fanya tathmin then tuambie anapandaaa au anashuka?...ki ukweli dimond kwa uimbaji hamuwez Ali kiba labda azaliwe mara ya pili na ajifunze kuimba akiwa na mwaka mmoja,kimaendeleo kamzid bt kiba ni kazaliwa ili aimbe yaan...mashabiki wa mond ndo mnamtengenezea mazingira magumu dogo kwa watanzania coz ya maneno yenu bt nae pia mtu wa kuprovoke sana....wasanii wote wa Tanzania waloingia kwenye AFRIMMA wamefanya kazi na wasanii wa nje ya Tanzania kwenye nyimbo zao lakini Kibba kaingia bila "kick" ya aina hiyo...kaa chini tafakari then jibu baki nalo..nb dimpoz ft j.martins,Vanesa ft ko(no one bt me),diamond ft davido,mr flavour bt KIBA ft whom 1?...bt he is inside also...napita zangu nmefunga 6...
Mmeshasema kwamba Diamond ni Mswahili na hajaenda shule na good enough hata mwenyewe kila siku anasema yeye ni mswahili toka uswahilini Tandale! Sasa huoni huo ushauri wako ungemfaa sana mtoto wa Kishua Jokate? Diamond kaandika Watanyooka Tu... sasa nini Jokate kilimfanya aanze kujibu na post ndeeeeeeeeefu as if ametajwa mahali?Huyo domo wenu kavurugwa kwani angekaa kimya ingekuwaje