Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

Dogo noma... ingawaje elimu nimemzidi kwa mbali but I doubt ikiwa naweza kumu-overthrow ikiwa nafanya nae kitu as rivals na hapo ndipo ninapowaona watu vilaza wanapokomalia kwamba "oh, jamaa shule tatizo" wakati wao na degree zao (na wengine hata diploma hawana lakini utawasikia jamaa tatizo shule) lakini hakuna chochote cha maana walichonacho in contrary na huyo wanayesema shule tatizo ambae ana almost everything a boy of his age group kwa mazingira ya Afrika angependa kuwa nacho! Mtu anajivunia elimu wakati anaenda job na daladala, amepanga chumba na sebule Ubungo au Tabata!!!
* Mkuu umenichekesha sana....
 
* Ona sasa ulivyokuwa mpole....mtu unaelezwa jambo hutaki kuelewa unaleta ushabiki maandazi...

* Umeenda nje mada..umefuatwa huko...ukaonekana huna jipya...unaanza kutoa kauli kukashifu..na kuona wengine ndiyo wako nje ya mada...

* Acha ushabiki uchwara....
unajifundisha kukot eh endelea nikot tena
 
Ahahaa yaani ukiongea na diamond inatakiwa uwe makini sana!!la sivyo unaweza kugeuka kituko kama jokate!

Yaani pale kuna majibu ya kila aina!nimemvulia kofia

insta jana nimewaambia the same thing kama nilikuwa kwenye akili ya diamond vile, diamond hajaanza kupost vipande vya video kwa wale wote wanaoonesha uwezo wao wa kumove na dansing skills zake, sijawahi skia akiambiwa kawadhalilisha leo kumpost jokate wanalazimisha udhalilishwaji, what a none sense???? team wema acheni kulazimisha mabifuuuu, hamchokiiiiii?? mnaona kabisa jitihada zenu kila mara zinagonga mwamba lakini mpo tuuu kama wehu, kujiongeza mmeshindwa hata kutuliza mshono pia mnashindwa???
 
Hahahaaaaa umenichekeshaa,,,, na wanyooshweee tuuuu ni mwendo wa kushikilia rula tu
* Unajua kila kitu kinatakiwa kiwe na kiasi...ukimshabikia mtu uwe na kiasi...ukimchukia mtu uwe na kiasi...unapozifanya zote kwa kupitiliza halafu matokeo yakawa tofauti na ulivyotarajia unaathirika zaidi kuliko hata mhusika mwenyewe....ndiyo yanawakuta mashabiki wa Kiba....
 
Teh teh na watanyooka tu
 
insta jana nimewaambia the same thing kama nilikuwa kwenye akili ya diamond vile, diamond hajaanza kupost vipande vya video kwa wale wote wanaoonesha uwezo wao wa kumove na dansing skills zake, sijawahi skia akiambiwa kawadhalilisha leo kumpost jokate wanalazimisha udhalilishwaji, what a none sense???? team wema acheni kulazimisha mabifuuuu, hamchokiiiiii?? mnaona kabisa jitihada zenu kila mara zinagonga mwamba lakini mpo tuuu kama wehu, kujiongeza mmeshindwa hata kutuliza mshono pia mnashindwa???

Yaani kama Wema ni bora tu ashinde ubunge maana asiposhinda atazidi kua na mawazo aisee!,Unajua ile nyumba ya diamond anayoishi sasa hivi Wema ameisimamia sana wakati inajengwa?Akikosa ubunge itakuwa majanga
 
Ni Bora Amekiri Mwenyewe Kua Watandale Ataendelea Kua Watandale Tu No Matter What.
Huyu Bwamdogo Kama Akili Yake Ingelingana Na Domo Lake Angekua Mtu Wa Maana Sana.Tatizo Lake Shule Ndogo, Ufahamu Mdogo, Upeo Mdogo Basi Ni Shida Tu.
Ila Akae Akijua Haya Mafanikio Yake Ya Ngende Yanamwisho Wake.
Time Will Tell #Atasanda Tu Atlast!

Mwandiko wako unafanana na wa Dogofgod. Au mnaigiliziana teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Haya maneno maneno ya huyu bwana mdogo huwa ykanamgharimu sana. Elekeza nguvu zako kwenye kazi. Acha vijembe.
Sasa hapo kafanya nn sasa zaidi ya kujenga chuki dhidi ya mashabiki wa huyo dada. Akumbuke kuna AFRIMMA yaja, huko kuna Alikiba, Vanessa, Dimpoz, yasije yakatokea yale yaliyotokea KTMA. Akumbuke kuwa watu wanaweza wakakuprovoke makusudi upoteze uelekeo.
Maboso

Kwanini? Hatuna shida na mtu ila hatutaki unafiki! Kama mnamchukia mchukieni sio mkikutana na nyimbo zake mnajichetua kama dadaenu!
 
Last edited by a moderator:
Duh! We jamaa ni mtu wa ajabu kishenzi na matokeo yake wala hufahamu ni nani kati yetu anakurupuka! Wewe madai yako umesema Mdogo mdogo na Nitampata Wapi hazijawahi kuwa nominated au kupata tuzo na mimi nimekuonesha Mdogo mdogo ilivyokuwa nominated na kupata tuzo za International Reggae and World Music Awards na Nitampata Wapi kuwa nominated kwenye AFRIMMA!

Tatizo lako haya mambo huyajui... kwa mtazamo wako unadhani mtu anatengeneza video bora ili apate tuzo ya video bora kumbe video bora ni kwa ajili ya ku-promote nyimbo na sio kushinda tuzo ya video!!!! Nimekuambia, siku hizi watu wanakesha Youtube kwahiyo ukitaka ku-promote wimbo ni lazima utengeneze video na kwa kuwa kila mmoja anatengeneza video, ili u-stand out of the public unatakiwa kuwa na video bora matokeo yake unakuja na ngonjera mara oh, kupanda ndege... we jamaa vipi?!Narudia... lengo la kutengeneza video bora sio kupata tuzo ya video bora bali ku-promote kazi!

Save your energy darln, Btw I mic u........
 
wanyooke, tu , walie tu huyu ndiye Mondi. hakuna namna nyingine ya kumzuia majariwa yake. Ni myoooko kwa kwenda mbele.
 
* Ona sasa ulivyokuwa mpole....mtu unaelezwa jambo hutaki kuelewa unaleta ushabiki maandazi...

* Umeenda nje mada..umefuatwa huko...ukaonekana huna jipya...unaanza kutoa kauli kukashifu..na kuona wengine ndiyo wako nje ya mada...

* Acha ushabiki uchwara....

Hahahaaa umenichekesha sana na wewe! Umeobserve alivyotoka nje ya mada akafuatwa, amerudi akabananishwa, akaleta lugha za kashfa akachimbwa mkwara! Mwisho akawa mpole😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom