Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
* Mkuu umenichekesha sana....Dogo noma... ingawaje elimu nimemzidi kwa mbali but I doubt ikiwa naweza kumu-overthrow ikiwa nafanya nae kitu as rivals na hapo ndipo ninapowaona watu vilaza wanapokomalia kwamba "oh, jamaa shule tatizo" wakati wao na degree zao (na wengine hata diploma hawana lakini utawasikia jamaa tatizo shule) lakini hakuna chochote cha maana walichonacho in contrary na huyo wanayesema shule tatizo ambae ana almost everything a boy of his age group kwa mazingira ya Afrika angependa kuwa nacho! Mtu anajivunia elimu wakati anaenda job na daladala, amepanga chumba na sebule Ubungo au Tabata!!!