Nimeenda nimepewa account number ya manispaa kulipia ... Ila karatasi yao ina upande wa control number .. je naibiwa kuweka kwa account au?? Je baada ya kumaliza kulipa kiasi nilichopewa nilipe nini kitafuata nimewauliza wamenambia nimalize kulipa maelekezo mengine nitapewa nikimaliza kulipa.