Majibu ya Halmashauri ya Kibaha kuhusu tuhuma za Rushwa katika urasimishaji viwanja

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

Kiba.jpg

Tuhuma za awali hizi hapa - TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi
 
Duh tanzania wao ni kuteteana

Huko inaelekea hata wakichunguza

Ni kazi bure...labda tume iundwe kutoka ahera

Ova
 
Nimeenda nimepewa account number ya manispaa kulipia ... Ila karatasi yao ina upande wa control number .. je naibiwa kuweka kwa account au?? Je baada ya kumaliza kulipa kiasi nilichopewa nilipe nini kitafuata nimewauliza wamenambia nimalize kulipa maelekezo mengine nitapewa nikimaliza kulipa.
 
Inapigwa stukaaah
 
Back
Top Bottom