Majibu ya haraka

A love

Member
Joined
May 17, 2021
Posts
93
Reaction score
119
Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini?
 
Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini?
Msaada jamani
 
Ngoja waje wenye ajira ila ukisikia zile sijui TGS itakuaa laki 7 mpaka 9
 
Kuna laki tatu na point zake, laki tano na point zake na saba na point zake, cheti stashahada, shahada respectively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…