A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Oct 3, 2021 #1 Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini?
Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini?
A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Oct 3, 2021 Thread starter #2 A love said: Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini? Click to expand... Msaada jamani
A love said: Hello wakuu ,naomba kuulIza eti mshahara kwa watu wanaofanya kazi kwa secta ya kilimo yaani , afisa kilimo ngazi ya kata ,hulipwa shingapi serikalini? Click to expand... Msaada jamani
M Muamu3 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,708 Reaction score 4,531 Oct 3, 2021 #3 Ngoja waje wenye ajira ila ukisikia zile sijui TGS itakuaa laki 7 mpaka 9
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Oct 14, 2021 #4 Kuna laki tatu na point zake, laki tano na point zake na saba na point zake, cheti stashahada, shahada respectively.
Kuna laki tatu na point zake, laki tano na point zake na saba na point zake, cheti stashahada, shahada respectively.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 14, 2021 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...