Majibu ya Harmorapa kwa Iyobo

Majibu ya Harmorapa kwa Iyobo

My point is, aliyemtukana ni inyombo. Therefore dongo lake lilitaKiwa lielekezwe kwa huyo huyo inyombo. Sasa wewe umeiba, unaulizwa kwa nini umeiba unajibu mbona na flan pia kaiba kama mimi!!!
Harmorapa kampa shule ndogo tu huyo mcheza dance kuwa, je anaweza kuthubutu kumuambia Harmonize kuwa anafanana na nyani?
 
Hahaha Harmorapa ni noma na hivi kang`oa demu mkali balaa. Kweli bongo kuwa maarufu ni fasta tu.
 
maskini mwee, huyo iyobo sura yke kaiona mxiueeee
Haha nimepita insta bahati mbaya nikakutana na huo utumbo!! Hivi Iyobo nae anajiweka ktk kundi la wazuri? Binafsi nayeye huwa namuona nyani tuu sura gani ile inaashiria lana tu?
 
Haha nimepita insta bahati mbaya nikakutana na huo utumbo!! Hivi Iyobo nae anajiweka ktk kundi la wazuri? Binafsi nayeye huwa namuona nyani tuu sura gani ile inaashiria lana tu?
Kaopoa Aunty ezekiel anajiona staa akiopoa zari c ndo atatukana kila mtu
 
Huyu sijui rapa naona mama ni embe lilooza kabisa
Ni siku tu sifa atabaki nazo kijijini kwao
 
Point dogo uelewa wake mdogo Iyobo alikosea sana kumuita yeye nyani lakini dogo nae kakosea sana kuingiza H kwenye sakata , huyu dogo aache kutafuta kiki kwa kutumia kufanana na mtu ni ushamba wa hali ya juu. Afanye kazi.
Kabisa. Yaani kilichofanyika hapa ni inyombo kamtukana hamorapa, na hamorapa kamtukana hamonize. Nashangaa watu hapo juu wanasupport matusi.
 
Point dogo uelewa wake mdogo Iyobo alikosea sana kumuita yeye nyani lakini dogo nae kakosea sana kuingiza H kwenye sakata , huyu dogo aache kutafuta kiki kwa kutumia kufanana na mtu ni ushamba wa hali ya juu. Afanye kazi.
Kakosea nini, mnaambiwa wote mliopanda daladala leo ni vichaa, sawa anaewaambia mlipanda na baba yake mzazi, je nae ni kichaaa?
 
Safi sana HARMORAPER umempa/umetoa JIBU KiUTU uzima.....ila DUNIA inajua....MOSE ni moja ya MADANSA wanao fanya KAZI si Kwa MVUTO alio nao...ISIPOKUWA juhudi tu....Nadhani ata AUNTY EZEKIEL amempendea labda ni juhudi na nidhamu ...

Si vyema anavyompoda H-RAPER ...ITAKUWA ni sawa na kumpoda muimbaji mwenye heshima yake SEAL.....

Labda kama hajui...
Ningekuwa mimi Lyobo kwa jibu hili ...ningejimaliza
 
Back
Top Bottom