Harmorapa kampa shule ndogo tu huyo mcheza dance kuwa, je anaweza kuthubutu kumuambia Harmonize kuwa anafanana na nyani?My point is, aliyemtukana ni inyombo. Therefore dongo lake lilitaKiwa lielekezwe kwa huyo huyo inyombo. Sasa wewe umeiba, unaulizwa kwa nini umeiba unajibu mbona na flan pia kaiba kama mimi!!!
Haha nimepita insta bahati mbaya nikakutana na huo utumbo!! Hivi Iyobo nae anajiweka ktk kundi la wazuri? Binafsi nayeye huwa namuona nyani tuu sura gani ile inaashiria lana tu?maskini mwee, huyo iyobo sura yke kaiona mxiueeee
Kaopoa Aunty ezekiel anajiona staa akiopoa zari c ndo atatukana kila mtuHaha nimepita insta bahati mbaya nikakutana na huo utumbo!! Hivi Iyobo nae anajiweka ktk kundi la wazuri? Binafsi nayeye huwa namuona nyani tuu sura gani ile inaashiria lana tu?
Umejiangalia kwenye kio ukapodoka hovyo?Sasa huyo Moze Iyobo si ndo ana sura mbaya zaidi ya huyo rapa?
Jamaa ana sura mbaya hatari...alafu hajioni sijui...
Point dogo uelewa wake mdogo Iyobo alikosea sana kumuita yeye nyani lakini dogo nae kakosea sana kuingiza H kwenye sakata , huyu dogo aache kutafuta kiki kwa kutumia kufanana na mtu ni ushamba wa hali ya juu. Afanye kazi.Kakosea kumuingiza hamonize
Kabisa. Yaani kilichofanyika hapa ni inyombo kamtukana hamorapa, na hamorapa kamtukana hamonize. Nashangaa watu hapo juu wanasupport matusi.Point dogo uelewa wake mdogo Iyobo alikosea sana kumuita yeye nyani lakini dogo nae kakosea sana kuingiza H kwenye sakata , huyu dogo aache kutafuta kiki kwa kutumia kufanana na mtu ni ushamba wa hali ya juu. Afanye kazi.
Kakosea nini, mnaambiwa wote mliopanda daladala leo ni vichaa, sawa anaewaambia mlipanda na baba yake mzazi, je nae ni kichaaa?Point dogo uelewa wake mdogo Iyobo alikosea sana kumuita yeye nyani lakini dogo nae kakosea sana kuingiza H kwenye sakata , huyu dogo aache kutafuta kiki kwa kutumia kufanana na mtu ni ushamba wa hali ya juu. Afanye kazi.
Halafu analazimisha kafanana na Mtu tMbona jamaa analazimisha undugu?? Manina zake akafie mbele huko!!
Nimemuangalia marehemu mama ako mzazi.Umejiangalia kwenye kio ukapodoka hovyo?
Ningekuwa mimi Lyobo kwa jibu hili ...ningejimalizaSafi sana HARMORAPER umempa/umetoa JIBU KiUTU uzima.....ila DUNIA inajua....MOSE ni moja ya MADANSA wanao fanya KAZI si Kwa MVUTO alio nao...ISIPOKUWA juhudi tu....Nadhani ata AUNTY EZEKIEL amempendea labda ni juhudi na nidhamu ...
Si vyema anavyompoda H-RAPER ...ITAKUWA ni sawa na kumpoda muimbaji mwenye heshima yake SEAL.....
Labda kama hajui...
Ngumi tu sis wa mkoa hatutaki Mchezo MchezoKwa mfano huyo angekuwa mwanaume wa mkoani angejibu vipi hapo ???
hivi mkoani ni wapi?Kwa post wewe unaonekana ni mwanaume Wa dar