Majibu ya HESLB appeals yanatoka lini ?

Majibu ya HESLB appeals yanatoka lini ?

Jaman habari za mda huu,

Sorry nilitaka jua au mnifahamishe mim ni mmoja wa wale ambao nilifanya appeal bodi ya mikopo nasikia majibu yametoka mwenye uhakika wa hili jambo nifahamishe please.
 
Vp mlopata loan trend iko vp wamepata wengi ama
 
Back
Top Bottom