Majibu ya HESLB

Majibu ya HESLB

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,836
Habari Wana JF.

Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi

Screenshot_20241030-134449_Chrome.jpg

Bodi ya Mikopo (HESLB)
 
Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa)
 
maombi yameshapokelewa akae atulie askilizie majibu
 
Sasa hapo mtoto afanye mambo mengine alafu baadaye mum waambie kapata
 
Back
Top Bottom