Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hapo ni kupiga dua tu Mungu afanye wepesi, kuwa na subra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni kupiga dua tu Mungu afanye wepesi, kuwa na subra.
mpaka hapo bado hujawekewa allocation endelea kuwa na subra
Sasa hii mpaka lini?mpaka hapo bado hujawekewa allocation endelea kuwa na subra
Dirisha la rufaa limefunguliwa unaweza kuappealSasa hii mpaka lini?
Chances za kupata mkopo ni ndogo atafute ada
Jumatatu dirisha la rufaa linafunguliwa
Nimeenda heslb leoChances za kupata mkopo ni ndogo atafute ada
Nishaenda heslbJumatatu dirisha la rufaa linafunguliwa
Ana historia ya kusoma shule ya private o level au advance?
Wamekupa?Nimeenda heslb leo
Ndiyo wamempa asilimia 100 ni suala la mtandaoWamekupa?
Maelezo hayo yamekaaje yaani sijakuelewa mkuu.Ndiyo wamempa asilimia 100 ni suala la mtandao
Tatizo ni laki mtandao yaani ilikuwa hivo haibadilikiMaelezo hayo yamekaaje yaani sijakuelewa mkuu.
Yaani ulipoenda heslb wakampa 100% wakati batch imeshatoka ama imekaaje hiyo
Allocation inasomaje kwa sasaTatizo ni laki mtandao yaani ilikuwa hivo haibadiliki