Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

yaani ilibidi waje juu waonyeshe ni kwanini cdm wana wadharau vyama vingine wanajiona wao ndiyo upinzani wengine siyo waqkati wao ni genge la wahunitu ndiyo maana mama kaqashtukia
 
Reactions: mmh
aisee ka pambalu yaani ni kaoga hakuna mfano kaliitisha press kakawajaza watu upepo wakaandamane mahakamani kenyewe kakawa kwenye tv na hakuna hata walioenda kuandamana kkama alivyotarajia mhuni pambalu
 
Unataka wamjumuishe nani?Akiwakataa kwamba hawakuongea nao ili upate jingine la kubwabwaja?
 
Huyo Juma Juma, nina hakika uelewa wake katika mambo mengi utakuwa mdogo sana. Hakuna anachojua. Yumkini ana uwendawazimu wa aina fulani. Rais amemtaja Mbowe, kwa hiyo kwa akili zake kibaba alitaka ijibu Dunia kwa vile Mbowe ni kiongozi wa Dunia?
 
Ulishakuwa na yako kichwani kabla hata ya mkutano huo na waandishi.Halafu kiongozi wa taasisi ya kitaifa unaanzaje kumuita "Kimnyika" "kikasema"!?Usiwe na majibu yako kama nia ni kuleta mjadala huru.Lakini kama unamsuta sawa.😝😝😝😝😝
 
Mbona wewe ndio unaonekana una low IQ
 
Vyama vimesajiliwa kwa umbrella?
Kwanini Rais hakuwachanganya Vijana,wazee,akina mama na viongozi wa dini na kuwahutubia.
 
Wewe huna tu low IQ bali hata za kuvukia barabara huna...hii nchi siyo MALI YA CCM
 
Kuliko kutoa ufafanuzi kwa kile asichokuwa na taarifa nacho sahihi, John Mnyika angekaa kimya kuonesha hana upande hususani kwenye Suala la Mbowe. Taarifa alizonazo Mhe.Rais ni taarifa makini kutoka kwenye vyombo makini na ni taarifa zilizofanyiwa uchunguzi na upembuzi hivyo ni taarifa za kuaminika kabisa, Kitendo cha Mnyika kupingana na taarifa za Rais na kutoa taarifa zisizojitosheleza ni kitendo cha kuchukulia suala la Mbowe katika upande wa kisisasa zaidi ya uvunjifu na uhatarishaji wa usalama.
 
Reactions: mmh
Rais alitakiwa akatae kutoa ufafanuzi kwenye suala lililopo mahakamani huku akijua kuwa yeye ndiye anayewaapisha majaji.
 
Hongera bro. Umesema vyote tena kwa ufasaha sana. Mwenye akili na aelewe andiko hili lililokwenda shule
 
Kwa hiyo magazeti yote yasiandike Habari za Mbowe kwa sababu ana kesi Mahakamani?
Aisee hongera kwakuandika kuvuka mipaka ya ubinadamu.
 
Mbowe ni Mwenyekiti wa CDM, na Mnyika ni Katibu Mkuu.
 
Kiukweli ukimsikiliza Mnyika unagundua Kuna shida ndani ya Chama Cha CHADEMA
Pole ndugu, kujibu hoja za Rais sio kosa, ndio demokrasia. Ila Rais kujiingiza kuzungumzia kesi iliyoko mahakamani ni SAWA na kutoa maelekezo ya mwelekeo na hatima ya kesi.
Mwendazake hakupenda kabisa kujibiwa na zaidi kukosolewa hata alipokuwa anatunga uongo. Nilidhani hayo yalikuwa yameenda nae kumbe malaika wake wanaofaidika na huo mfumoduni, bado mpo. Someni alama za nyakati, MMECHOKWA.
 
Huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…