Majibu ya Juma Mgunda kuhusu kipa Aishi Manula 'very unprofessional'

Majibu ya Juma Mgunda kuhusu kipa Aishi Manula 'very unprofessional'

Shida vitambi vya madafu na malimao. Hovyo kabisa yule kocha
Kuna siku Ndairagije alizungumza vizuri sana kuhusu uchaguzi wake wa Kaseja badala ya Aishi Manula kwenye mechi dhidi ya Burundi

Alisema alimwita Manula lakini akamwambia anamaumivu, alipata injury kwenye mechi ya ligi kwahiyo anaomba wamuache

Watu hawakuelewa mazingira hayo wakawa wanalaumu lakini akasema yeye kama Kocha asingeweza kumlazimisha awepo National Team wakati kashamwambia anaumwa

Hayo ndio majibu ya kitaalamu na kiweledi hasa kwa mwalimu wa kiwango cha kufundisha timu ya Taifa. Tena Ndairagije alifunguka hiyo story baada ya watangazaji kumkomalia na hilo swali lakini mwenyewe hakuwahi kufungua mdomo kulizungunzia hilo kabda. Hiyo ndio professionalism

Juma Mgunda yeye mwenyewe watu wakisema wachimbe CV yake ni mashaka matupu
 
Nimeshangaa sanaaa, Kuona Kocha Msaidizi Wa Timu ya Taifa Anatoa Kaulii zisizo na Maadili tena Kwa Nchi Kama TANZANIA ambayo Inapambana Sanaa Kukuza Mpiraa Wake!

Kulikuwa Hakuna Sababu za Msingi za Kumuacha Golikipa Namba Moja Wa Simba AISHI MANULA..!! Hata Kama Sababu Zilikuwepo Za Kifundi, Kocha Alitakiwa Kuzieleza na Sio Kutoa Maneno Ya Shomboo na Ya Kejeli Kwa Aishi Manula Kama amekuja Kumkomoa! Alitakiwa Kuelezea Sababu za Kiufundi zilizofanya kumuacha AISHI MANULA kama Swali lilivyokuwa Limeulizwa! Au angeweza kusema Hawezi kujibu hilo swalii, au angeleezea kiwango cha sasa cha AISHI MANULA kulinganisha na wale walio Itwa.

Nanukuu Kocha Juma Mgunda Anasema “HATUCHAGUI SURA YAKE,HATUJI KUPOSA” Kauli Hii Sitaki Hata Kuanza Kuangalia CV ya Juma Mgunda Moja Kwa Moja Na conclude kuwa Ni UNPROFESSIONAL COACH.

Anaendelea Kusema “KAMA AISHI MANULA ALIVYOKUWA ANACHAGULIWA NYUMA,KUNA MAKIPA WENGINE WALIKUWA HAWACHAGULIWI” Anaendelea Kuoneshaa Anaamua Kufanya kwa Kukomoana! Hii ni Very Very Unprofessional!

Hatujafika hivyo viwango vya kudharau wachezaji wetuuu! Sikumbuki jina lakini kuna mchezaji walikuwa wanamdharau sanaaa lakini Mwisho wa Siku aliisaidia timu Kuvuka kule Sudan na aliitwa baada ya Kuifunga Yangaa hii ilikuwa sio sawa!

Najaribu kufikilia psychological Effect anayoipata sasa AISHI MANULA kwa Kauli kama Hii tena Ya Kocha Wa Timi Ya Taifa.

Mchawi wa soka la Tanzania Ni Watanzania Wenyewe kama akina JUMA MGUNDA! TFF na wadau wa Soka Kuweni Makini na watu kama Hawa

Over.
Juma mbunda naye hovyo! Anaonesha yuko kishoga tu! Hata hakumbuki kuheshimu umri na umbo lake!
 
Mgunda hakutumia weledi kujibu swali la mwandishi. Kiukweli Manula ni mmojawapo wa makipa wazuri sana lakini mapungufu yake ya kucheza mipira ya kona na krosi kwa ufasaha na ile tabia yake ya kusogea mbele kidogo ya goli wakati mchezo unaendelea ndio vinamshusha thamani ukimlinganisha na Kaseja. Ukweli huu mchungu ndio mashabilki wa Manula hawapendi kuukubali lakini mwisho wa siku ndio ukweli wenyewe.

Mgunda angejibu tu kistaarabu kuwa makipa waliopo sasa hivi wamefanya vizuri ndio maana wameitwa na yeye Manula akifanya vizuri ataitwa maana timu ya taifa ni ya watanzania wote wakiwepo Manula pamoja na akina Kaseja na Metacha. Basi ingetosha kumtoa Manula kwenye reli na mashabiki wa Manula wangetulia kuliko alivyojibu maana sasa inatafutwa timu ya taifa ifungwe na makosa yawe ya golikipa hapo Mgunda atatafuta pakutokea na asipaone.
 
Kiukweli Manura hafai basi tu
Kwa hapa nchini ndio kipa namba moja kwa sasa, kwa wazawa na wageni wote wanaocheza ligi zote za nchini, na ameteuliwa na makocha kuwa kipa bora katika misimu yote aliyokuwapo Simba
 
Back
Top Bottom