Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
SureNamashaka na hili penzi ni kama kuna viashiria vya jamaa kuburuzwa hivi!
Jamaa mtu wa ajabu sana, kila siku kujipendekeza kwa kidemu kisichokuwa na habari nae. Kila siku akitaka kutoa singo, ndio hadithi za Vanessa zinapozuka.KiKi
Ah, Alafu Skuizi Jux anarudi nyuma kimuzikiJamaa mtu wa ajabu sana, kila siku kujipendekeza kwa kidemu kisichokuwa na habari nae. Kila siku akitaka kutoa singo, ndio hadithi za Vanessa zinapozuka.
Dogo anapotezwa muda sio mrefu kuna vijana wameibuka na wanafanya vizuri kwenye gameAh, Alafu Skuizi Jux anarudi nyuma kimuziki