Majibu ya Jux alipoulizwa kama ana mpango wa kumuoa Vanessa au kuzaa nae

Majibu ya Jux alipoulizwa kama ana mpango wa kumuoa Vanessa au kuzaa nae

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa kuna vitu anavijua na yeye havijui
 
Bwana Juma hana "SAY" wa kuulizwa swali hilo ni VEE....kijana kwa VANNESA ni kama anaonewa huruma tuu..anasafiria NYOTA...so ni kama MARIOO wengine....kubashiri mahusiano yake siku za usoni....ni ngumu kama ubashiri wa mechi ya EL-Classic...
 
Yaani kwa kujibu hivyo tu ni kama Vannesa napiga chini,INA maana muda wote jux hana future plan ya kuwa pamoja as mume na mke ,tena public kaongea MTU wa namna hivi hafai
 
Vanesa aendelee kuomba yule manzi aendelee kutumikia kifungo huko Macao ,siku akitoka ndio mwisho wake
 
Jamaa mtu wa ajabu sana, kila siku kujipendekeza kwa kidemu kisichokuwa na habari nae. Kila siku akitaka kutoa singo, ndio hadithi za Vanessa zinapozuka.
Ah, Alafu Skuizi Jux anarudi nyuma kimuziki
 
Back
Top Bottom