princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
well saidKama hawezi kubeba mzigo akae pembeni, sio anakaa mlangoni tu, nje atoki ndani aingii anawaharibia watu timing zao.
Kweli, ila pia huyu Jux naona kakaa kwa ajili ya kupoteza muda ili kifaa chake kitoke huko Macaumwenye maamuzi katika mapenzi hasa kuolewa/ kuzaa ni mwanammke
labda jux anataka kumuoa au kuzaa
lakini vanessa alishahojiwa akasema kuwa hahitaji kwa sasa hivo vitu..
kwahiyo ilimradi jux mzigo akiutaka anaula
waache waendelee tu kama navykenzo
....
ujue sisi wanawake tunasababisha tusiolewe sana..
maana unakua na bwana
akitaka papuchi anapata anytime bila vikwazo mradi kakununulia les wig na lipstc ya kylie unaonekana mitandaoni .. haina shida..!!!
wanaume wangekua hwapati papuchi kirahisi , tukawakazia
naamini saivi kila mtu angekua na mmewe.
sidhani kama anamkumbuka yule dada[emoji46] jux alivo anajiskia skuiziKweli, ila pia huyu Jux naona kakaa kwa ajili ya kupoteza muda ili kifaa chake kitoke huko Macau
Sisi sio wazazi wao,so we don know.harafu acha kufuatilia umri wa watu mjini,we umekutana tu na watu hapa miaka yao ya nini?Jux na Vanessa nani mkubwa ki umri
Hayo ndio maneno, sio watu wazima mnkaa mnadanganyana kama watoto.nimempenda jux
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120]Kama hawezi kubeba mzigo akae pembeni, sio anakaa mlangoni tu, nje atoki ndani aingii anawaharibia watu timing zao.
umeona eeehhh!Hayo ndio maneno, sio watu wazima mnkaa mnadanganyana kama watoto.
Kama hawezi kubeba mzigo akae pembeni, sio anakaa mlangoni tu, nje atoki ndani aingii anawaharibia watu timing zao.
Mkuu Hapa mjini wote tunajua Vanessa sio size ya Juma...Vanessa ni demu wa kawaida ile mbaya kwa mademu viwango ambao Juma amekuwa akiwagonga..Bwana Juma hana "SAY" wa kuulizwa swali hilo ni VEE....kijana kwa VANNESA ni kama anaonewa huruma tuu..anasafiria NYOTA...so ni kama MARIOO wengine....kubashiri mahusiano yake siku za usoni....ni ngumu kama ubashiri wa mechi ya EL-Classic...
Vanessa Amezaliwa 1988 kwa mujibu wake mwenyewe na Jux mwaka 1989...piga mahesabu alafu ujue ukubwa sio urefu.Jux na Vanessa nani mkubwa ki umri
Miaka yote Jux ndio anavyofanya mziki wake yupo kama hayupo labda utuambie lini alikwenda mbele kimuziki?Ah, Alafu Skuizi Jux anarudi nyuma kimuziki