princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
mwenye maamuzi katika mapenzi hasa kuolewa/ kuzaa ni mwanammke
labda jux anataka kumuoa au kuzaa
lakini vanessa alishahojiwa akasema kuwa hahitaji kwa sasa hivo vitu..
kwahiyo ilimradi jux mzigo akiutaka anaula
waache waendelee tu kama navykenzo
....
ujue sisi wanawake tunasababisha tusiolewe sana..
maana unakua na bwana
akitaka papuchi anapata anytime bila vikwazo mradi kakununulia les wig na lipstc ya kylie unaonekana mitandaoni .. haina shida..!!!
wanaume wangekua hwapati papuchi kirahisi , tukawakazia
naamini saivi kila mtu angekua na mmewe.