Changamotto
Senior Member
- Jan 12, 2018
- 191
- 100
Apo sheria ya ndoa sec 160 imetaja miaka 2 mkiishi kama MKE na Mme na jamii mnayo ishi nayo itambue nyie ni wanandoaNi kwa muda gani mkiishi na hawara mnakuwa wanandoa kisheria?
Ni kwa muda gani mwanandoa anapokuwa amemtelekeza mwenzi wake anakuwa amevunja ndoa kisheria?
mlishafunga ndoa au mliishi kihawara?, kama mlifunga ndoa huyo ni mkeo. pia hata kama ni hawara mmeishi miaka 2 au zaidi na wanaowazunguka wanawaona kama wanandoa, na hakuna mwenye ndoa nyingine (wote mliingia mkiwa fresh) na mnataka kuachana mlichuma mali pamoja au mali zilichumiwa kwenye uhawara wenu, hata kama ameenda kwao kwani amesema ameenda mojakwamoja? kwani maslahi yake ameshachukua...bado zigo unalo tu.Je kama mkeo yuko kwao KWA muda wa miaka MIWILI.je sheria inasemaje ? Natayar mlifunga ndoa kanisani?
hapo hatuangalii makosa, tunaangalia kama ndoa bado ipo au la. alafu kumbuka separation inayotambulika ni separation ya amri ya mahakama, ambayo hupelekea ndoa kuvunjika kama muda ukiisha. iyo mke kwenda kwao kama ndoa ilikuwa ya church mzee hiyo bado ipo na inatambulika kwasababu bado inasomeka kule kwa msajili ilikosajiliwa. hao wachungaji/mapadre/mashehe etc wakifungisha ndoa hulazimika kila baada ya siku 30 kupeleka majina ya wanandoa hao kwa msajili/mikoani through ofisi ya mkuu wa wilaya (msajili yupo RITA) ndio mwenye daftari ya ndoa zote. wao ni mawakala tu, kama siyo ndoa ingekuwa inafungwa na msajili. hata ndoa ya kimila ikifungwa unalazimika kwenda kuisajili kwa msajili ndani ya siku 30. kuondoka au kutoondoka kwa mweza hakuvunji ndoa iliyosajiliwa. awe na makosa asiwe na makosa ndoa haijavunjika bado.Na je kisheria mfano mke akiseparate na mume wake akarudi kwao kwa will yake mwenyewe bila kufukuzwa, kisheria nani anayo makosa?
Thanks mkuu. Na je hatua zipi kisheria zinaweza kuchukuliwa endapo mwanandoa ameondoka katika mazingira hayo maana ninachojua ni kwamba ni duty ya mwanandoa kuishi na mume/mke wake kama ilivo falsafa ya ndoa. Na kwamba kama kuna mgogoro labda ulipaswa kupelekwa kwenye mamlaka husika badala ya kujiondokea halafu kwa muda mrefu (mwaka, etc).hapo hatuangalii makosa, tunaangalia kama ndoa bado ipo au la. alafu kumbuka separation inayotambulika ni separation ya amri ya mahakama, ambayo hupelekea ndoa kuvunjika kama muda ukiisha. iyo mke kwenda kwao kama ndoa ilikuwa ya church mzee hiyo bado ipo na inatambulika kwasababu bado inasomeka kule kwa msajili ilikosajiliwa. hao wachungaji/mapadre/mashehe etc wakifungisha ndoa hulazimika kila baada ya siku 30 kupeleka majina ya wanandoa hao kwa msajili/mikoani through ofisi ya mkuu wa wilaya (msajili yupo RITA) ndio mwenye daftari ya ndoa zote. wao ni mawakala tu, kama siyo ndoa ingekuwa inafungwa na msajili. hata ndoa ya kimila ikifungwa unalazimika kwenda kuisajili kwa msajili ndani ya siku 30. kuondoka au kutoondoka kwa mweza hakuvunji ndoa iliyosajiliwa. awe na makosa asiwe na makosa ndoa haijavunjika bado.
Duuuh mkuu hiyo wrong time separation ikoje?Apo sheria ya ndoa sec 160 imetaja miaka 2 mkiishi kama MKE na Mme na jamii mnayo ishi nayo itambue nyie ni wanandoa
Na kuhusu kumtelekeza kuna aina mbili actual dissertion & constrictive ambapo mwanandoa anatelekezwa bila yy kujijua km ametelekezwa au mwanandoa kukatazwa /kutishiwa kuhama kwenye nyumba wanayoishi wanandoa
Ili kuonekane ametelekweza kuanzia muda WA miaka 3 wrong time separation ...
niliweka link watu wakapate huduma ya vitabu vyetu, ikawa nongwa..hahaha, hata hivyo nawaheshimu, hii ni website yao wanastahili kuendesha wapendavyo na kuweka sheria wazipendazo kwasababu ni mali yao. ila nashukuru walinipa ban ya siku mbili tu, zimeshaisha sasaivi nipo ulingoni.Sheria kwa kiswahili unadadavua vizuri sans sijui umetibua nini humu ndani naona ban hahaa
Nilikuwa nataka kuuliza nimeishi na hawara miaka miwili bila ndoa, tumechuma mali ila gafla namuacha huyu hawala niliyeishi naye miaka miwili namua kuoa mke mwingine kwa ndoa kabisa
Je nani ana haki ya mali uyu hawara au uyu nilitefunga naye ndoa halali kabisa
Nashukuru kwa majibu mazuri pengine niulize swali la nyongezaniliweka link watu wakapate huduma ya vitabu vyetu, ikawa nongwa..hahaha, hata hivyo nawaheshimu, hii ni website yao wanastahili kuendesha wapendavyo na kuweka sheria wazipendazo kwasababu ni mali yao. ila nashukuru walinipa ban ya siku mbili tu, zimeshaisha sasaivi nipo ulingoni.
kujibu swali lako, kama mmeshatimiza miaka miwili, watu wanaowazunguka wanawaona kama mume na mke, either of you hakuna ambaye alishawahi kufunga ndoa ambayo haijavunjika, na mpo kwenye watu wenye vigezo vya kuoana....basi hapo itabidi presumption of marriage iingilie kati wakati wa kugawana mali. presumption of marriage ni dhana ya ndoa...yaani hapo hamna ndoa ila ili kugawana mali mnadhania tu kama mmeoana, mtagawana mali kulingana na mchango wa kila mtu, kila mtu achukue hamsini zake. hauwezi kuondoka na mali ambazo mlichuma pamoja na mwenzio katika mazingira ya namna hii.
isipokuwa (ambayo sasa sio facts za kesi yako), kama umehamia kwa hawara wakati una ndoa inayoendelea, hamjaishi miaka walau miwili, na mmeishi kwa kificho tu watu wanaowazunguka hawako kwenye mazingira ya kuamini kama mmeoana au la, hapo hata kama mmechuma mali pamoja presumption of marriage haipo. (hii ni saa saba usiku, kama sijakujibu vizuri niulize tena kesho yawezekana ni usingizi).
mali zile ni za kwenu wazazi, sio wa mtoto, mtoto atakuwa na haki kudai mali hizo kama mtakuwa mmekufa. hivyo mgao upo palepale, isipokuwa kwa busara za watu wengi (sio sheria) wengi huwa wanaamua wakose wote apate mtoto etc.Nim
Nashukuru kwa majibu mazuri pengine niulize swali la nyongeza
Mfano hawala nimeishi naye na kubahatika kupata mtoto mmoja na yeye ila badae mtafauruku unatokea inabidi tuachane je bado mgao wa mali upo vile vile kama hiyo sheria ya kuishi hawala inavyosema, au kwakua mmezaa basi mgao hauwezi kufanyika sababu mtoto yupo?
Ni mda Sana kiongozi umejibu swali hili naomba kuuliza Tenamali zile ni za kwenu wazazi, sio wa mtoto, mtoto atakuwa na haki kudai mali hizo kama mtakuwa mmekufa. hivyo mgao upo palepale, isipokuwa kwa busara za watu wengi (sio sheria) wengi huwa wanaamua wakose wote apate mtoto etc.
Na kwenye kugawana Mali inakuwa 50/50 au inakuwa asilimia ngapi anayostahili Huyo mwanamke ambae yupo kwenye ndoa ya namna hiyo? Kuna dogo ana changamoto hiyo, mwanamke ameishinae kwa miaka saba, tatizo huyo mwanamke wa kigogo amekuwa Malaya balaa,jamaa anataka ampige chini,mlishafunga ndoa au mliishi kihawara?, kama mlifunga ndoa huyo ni mkeo. pia hata kama ni hawara mmeishi miaka 2 au zaidi na wanaowazunguka wanawaona kama wanandoa, na hakuna mwenye ndoa nyingine (wote mliingia mkiwa fresh) na mnataka kuachana mlichuma mali pamoja au mali zilichumiwa kwenye uhawara wenu, hata kama ameenda kwao kwani amesema ameenda mojakwamoja? kwani maslahi yake ameshachukua...bado zigo unalo tu.