Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waandishi mchongo,wala hawana plan ya kwenda kuhoji,hawajui wanamhoji nani,na huyo wanaemhoji ana wadhifa ganiJe unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
View attachment 2545766
🤣🤣🤣🤣wanachopenda wa Tz sio kinachopendwa na ZambiaVipi na zambia mtamwambia kocha aingie kwenye mfumo wa Chama au Chama aingie kwenyw mfumo wa Chama
Ndo kitu tunapenda Watz matobo, kanzu udambwi udambwi mwingi
Ila lile lilikuwa tobo la bao. Au huko Uto hamjuona?Vipi na zambia mtamwambia kocha aingie kwenye mfumo wa Chama au Chama aingie kwenyw mfumo wa Chama
Ndo kitu tunapenda Watz matobo, kanzu udambwi udambwi mwingi
Unauliza Kiwango cha Chama wakati kila mtu watu wakila matobo?
Unaposema haipo tu...maana yake ipo lakini sio kitu pekee na mengine yakiwepo. Sasa hapo unabishania niniFootball haipo tu kwenye matobo, kanzu
Watz sijui tumerogwa na nani
Maswali yote yalikuwa ni ya kipuuzi sana. Bora hata angeuliza kuhusu maendeleo ya soka la Afrika kwa ujumla wake, ukilinganisha na Ulaya; walau angeonekana ana unafuu.Je unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
View attachment 2545766
Hata mimi nina mashaka ingependeza kavideo kawekwe kama ushahidi.Kabla hatujashambulia lazima tuwe na uhakika kama huyo muandishi aliuliza hayo maswali.
Lakini pia sioni kosa kuuliza maswali hayo unapokuwa katika mahojiano lazima utauliza maswali mazuri na maswali mabaya lengo ikiwa ni kufikia habari kuu unayoitaka