Majibu ya kocha wa Zambia dhidi ya Mwandishi wa kibongo

Majibu ya kocha wa Zambia dhidi ya Mwandishi wa kibongo

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Je unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
IMG_1848.jpg
 
Je unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
View attachment 2545766
Waandishi mchongo,wala hawana plan ya kwenda kuhoji,hawajui wanamhoji nani,na huyo wanaemhoji ana wadhifa gani
 
Vipi na zambia mtamwambia kocha aingie kwenye mfumo wa Chama au Chama aingie kwenyw mfumo wa Chama
Ndo kitu tunapenda Watz matobo, kanzu udambwi udambwi mwingi
🤣🤣🤣🤣wanachopenda wa Tz sio kinachopendwa na Zambia
 
Vipi na zambia mtamwambia kocha aingie kwenye mfumo wa Chama au Chama aingie kwenyw mfumo wa Chama
Ndo kitu tunapenda Watz matobo, kanzu udambwi udambwi mwingi
Ila lile lilikuwa tobo la bao. Au huko Uto hamjuona?
 
Kabla hatujashambulia lazima tuwe na uhakika kama huyo muandishi aliuliza hayo maswali.
Lakini pia sioni kosa kuuliza maswali hayo unapokuwa katika mahojiano lazima utauliza maswali mazuri na maswali mabaya lengo ikiwa ni kufikia habari kuu unayoitaka
 
Je unahisi huyu mwandishi atakua nani vile, binafsi nimependa majibu ya huyu kocha wa Timu ya Taifa Muisrael Avram Grant akili kubwa, kuna cha kujifunza makocha wa kibongo.
View attachment 2545766
Maswali yote yalikuwa ni ya kipuuzi sana. Bora hata angeuliza kuhusu maendeleo ya soka la Afrika kwa ujumla wake, ukilinganisha na Ulaya; walau angeonekana ana unafuu.

Eti "how do you see Clotus Chama?" Yaani kabisaa kocha mkubwa kama huyo atoe tathmini kwa mchezaji, kama Chama!! Kisa tu amefunga goli la ushindi kwenye timu iliyopoteza mwelekeo kama Vipers!!
 
Sijaona swali baya hapo.
Kwa kifupi huyo kocha hakuwa tayari kwa mahojiano. Alikuja kwa kazi maalum ya kuwaangalia Musonda, Chama na Phiri. Amesema kabla hajatangaza list ya wachezaji wa timu ya Taifa sio busara kusifia mchezaji mmojamoja.

Ila wabongo tunaushabiki wa kivyetuvyetu.
 
Kabla hatujashambulia lazima tuwe na uhakika kama huyo muandishi aliuliza hayo maswali.
Lakini pia sioni kosa kuuliza maswali hayo unapokuwa katika mahojiano lazima utauliza maswali mazuri na maswali mabaya lengo ikiwa ni kufikia habari kuu unayoitaka
Hata mimi nina mashaka ingependeza kavideo kawekwe kama ushahidi.
 
Kocha mwenyewe ni wa mmchongoma sijawahiona kutoka kuifundisha Chelsea hadi kua kocha mkuu huku kusini mwa jangwa la Sahara ni kufeli kulikotukuka mbwa wewe!
 
Back
Top Bottom