Majibu ya kocha wa Zambia dhidi ya Mwandishi wa kibongo

Football haipo tu kwenye matobo, kanzu
Watz sijui tumerogwa na nani
Wewe unapozungumzia futbol inabeba mambo mengi sana yakiwemo hayo, sasa sijui unabeza nini. Fuatilia ligi ya sauzi afurika utaona sasa walivyorogwa na huo udambwidambwi, bai ze wei kila ligi inatengeneza utofauti wake ko usitupangie cha kupenda SOKA LETU KIVYETUVYETU.
 
Heri angehoji kula ugali sukari kunasaidiaje wachezaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…