Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unapozungumzia futbol inabeba mambo mengi sana yakiwemo hayo, sasa sijui unabeza nini. Fuatilia ligi ya sauzi afurika utaona sasa walivyorogwa na huo udambwidambwi, bai ze wei kila ligi inatengeneza utofauti wake ko usitupangie cha kupenda SOKA LETU KIVYETUVYETU.Football haipo tu kwenye matobo, kanzu
Watz sijui tumerogwa na nani
Hata Pep mnene anajitahidi sana kujibu maswali ya waandishiKwa hapa tz namuelewa sana meck mexime. Huwa anawajibu waandishi uchwara stahiki yao
Labda ndio maana Nabi huwa anamuweka benchi Aziz KiFootball haipo tu kwenye matobo, kanzu
Watz sijui tumerogwa na nani