Majibu ya madaktari yamegongana nifanyeje?


Kwa Dar Ni Dokta Gani?
 

Hii kidogo ifanane na doctor shopping au double doctoring. Ushauri: Ulizia madaktari waliobobea katika fani hiyo. Pili usifuate ushauri wa daktari aliyesoma kipimo, yaani radiologist, ila fuata ushauri wa daktari anayekutuma kufanya hicho kipimo. Usizunguke kwa madaktari wengi, maana utachanganywa zaidi.
 
hao madokta nadhani wangekutana wadiskass kwa pamoja kujua tatizo ,au kama vipi nenda hospitali ingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…