Majibu ya Mmiliki wa FB dhidi ya Trump

Mkuu umechelewa, hii ilikuwa September mwaka jana. Sasa hivi tunaongelea serikali ya Magufuli na wavaa milegezo, usiturudishe nyuma.
 
Mkuu wavaa milegezo tushawaacha leo tuko na tukio la majambazi walio enda iba wakiwa na bendera ya chadema
vioja haviishi


Kiini macho, majambazi hawajaiba na wala hawakukamatwa ila wameacha bunduki na bendera ya CHADEMA, subiri matokeo unaweza kuambiwa ni bunduki inayotumika kumshambulia Tundu Lisu, nchi hii we acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…