Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Mchungaji Tony Kapola ajibu wanaomkosoa kuhusu muujiza wa kupuliza mtungi wa gesi
Baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha Mchungaji mke wa Mchungaji Tony Kapola akieleza muujiza wa kujaza gesi kwa kupuliza mtungi na kutumia zaidi ya siku 14 kumaliza gesi hiyo, kumeibuka mijadala mikubwa kwenye mitandao ya kijamii.
Wengine wamemkosoa na kumbeza, wakipinga ukweli wa muujiza huo. Hata hivyo, Kapola ametoa majibu yake kwa wale anaosema wanamdhihaki:
Of course mimi siendeshi magari, naendesha mashine.
It doesn’t matter, mimi naishi the best life of my life." ---> Mchungaji Kapola
Maneno haya yamezua maoni mseto, baadhi wakimuunga mkono na wengine wakionekana kuendelea kutilia shaka simulizi lake la muujiza huo.
Niliwahisema miujiza ya nguvu za giza Yana mdaa yakiianza kukuaibisha dunia inakuchukiaa

Ukimaliza kunibeza, utachukua Uber, mimi napanda mashine yangu."Ukimaliza kunibeza, utaenda kwenye nyumba yako ya kupanga, mimi naenda kwenye nyumba yangu ya maana.