Majibu ya posa

Majibu ya posa

kikwakwa

Senior Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
105
Reaction score
12
habari wam jf!naomba kuuliza hv toka mtu apeleke posa kwa kawaida inachukua muda gani hadi ajibiwe?
 
Inategemea na familia wengine siku hiyohiyo lakini ukiona
wanachelewa sana ujue umekataliwa lakini unaonewa aibu.
 
Urefu wategemea hali yako kifedha hasa kama familia sio wastaarabu....lol
 
habari wam jf!naomba kuuliza hv toka mtu apeleke posa kwa kawaida inachukua muda gani hadi ajibiwe?

Haina siku maalumu...siku yoyote posa inajibiwa. Cha msingi binti aridhie kuwa amekubali kuolewa na huyo jamaa japo kukataliwa pia ni matokeo..
 
inategemea familia na familia...
au mlitaka utaratibu upi,
na umejiandaaje...i

kama umejiandaa vyema na binti akawaambia wazazi wake ukipeleka barua wanakujibu hapo hapo unatoa pesa inayotakiwa na kupanga siku ya kwenda kumalizia vitu vya kimila

ila kama familia kuna watata (mfano ndugu watata) na baba sio firm utakesha, kama ndo baba mtata utaisoma
 
Inategemea na familia wengine siku hiyohiyo lakini ukiona
wanachelewa sana ujue umekataliwa lakini unaonewa aibu.
kak unanitisha,bt nna wiki moja toka nipelleke hapo napo vipi?
 
duh, kaazi kweli kweli
stress ni nyingi duniani aisee
 
habari wam jf!naomba kuuliza hv toka mtu apeleke posa kwa kawaida inachukua muda gani hadi ajibiwe?

Inategemea kama umeshapachika mimba au unaishi na huyo mchumba majibu ni within a short time.
 
mie nilipeleka posa siku hiyo hiyo nikatoa na mahari siku hiyo yaani nihuwa ndege wawili kwa jiwe moja..sikutaka kurudi mara nyingine sababu ilikuwa mkoani na kusafirisha watu kama kumi kuwapeleka mkoani si mchezo nilijifunga mkanda kiukweli ukweli..
 
kak unanitisha,bt nna wiki moja toka nipelleke hapo napo vipi?
Shauku tu ndo inakufanya uhisi kuwa majibu yanachelewa pengine
hapo anasubiriwa mjomba mtu au kaka mtu ambaye yuko morogoro n.k
 
Back
Top Bottom