Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari wam jf!naomba kuuliza hv toka mtu apeleke posa kwa kawaida inachukua muda gani hadi ajibiwe?
Umesha mpiga mimba binti...huwa inasaidia kuharakisha majibu ya posa
Bonge la short cut aisee. . . lolwabongo kwa short cut lol
habari wam jf!naomba kuuliza hv toka mtu apeleke posa kwa kawaida inachukua muda gani hadi ajibiwe?
Shauku tu ndo inakufanya uhisi kuwa majibu yanachelewa penginekak unanitisha,bt nna wiki moja toka nipelleke hapo napo vipi?
kak unanitisha,bt nna wiki moja toka nipelleke hapo napo vipi?